Slider[Style1]

HABARI

BONGO MOVIES

BONGO FLEVA

.

BONGO VIDEOS

Style5[ImagesOnly]

STORY ZA INSTAGRAM

Picha, Mdogo Wake Kim Kardashian Naye Apiga Picha Za Utupu,Zitakuwa Kwenye Hici Kitabu.

KendallWiki moja iliyopita mke wa rapper Kanye West ‘Kim Kardashian’ alitajwa kuwa mwanamke wa mwaka na jarida la GQ Na alipidi apige picha za utupa kwa ajili ya jarida hilo.
Jipya ni kwamba mdogo wake Kim, Kendall Jenner naye amepiga picha kama hizo za utupu chini ya mpiga picha maarufu Russell James zitakazo kuwa kwenye kwenye kitabu cha mpiga picha huyo kiitwacho ‘Angels’. Fahamu kuwa Kendall anamiaka 18 tu.

Just Got Paid Ilivyofana

Ijumaa wiki iliyopita Castle LITE ilidhamini pati ya JUST GOT PAID iliyofanyika Azura, Mikocheni. Pati hii ni ya madhumuni ya watu kusherekea mwisho wa mwezi na kuburudika kwa kinywaji cha Castle LITE na muziki bomba.

Wageni katika sherehe hii pia walihimizwa kushiriki katika shindano la kujishindia zawadi kutoka Castle LITE ambapo walitakiwa kutembelea tovuti ya
www.castlelite.co.tz kujiunga katika droo. Zawadi za kujishindia ni Samsung Galaxy Tab, T-shirt, Kofia na Key holder za Castle LITE pamoja na Castle LITE za kopo. Picha kadhaa kutoka pati hii watu wakiburudika na Castle LITE jioni hiyo













Kauli ya Wema Sepetu Baada ya Picha ya Mama Yake Mzazi Kueditiwa na Kuwa Chafu Kama zile za Kina Komba

Jana Kimetokea kitu cha Kusikitisha sana Instagram, Account Moja inayojiita Home_ya_jiji_team_dengue walichukua Picha ya Mama yake Wema na Kuiedit na kumzalilisha mama wa watu Bila Kosa lolote kisa ni Huyu Dengue ni Team tofauti na ile ya Wema , Ki ukweli Imesikitisha Wengi sana ....Baada ya Watu wengi kulaani hicho kitendo Mwenye Account hiyo ali delete picha lakini akawa imeshasambaa sana kwa watu ...

Wema Kwa uchungu aliandikia Message hii hapa chini kwa uchungu:

MJUE STAN BAKORA UYU NDIO CRIETA WA KICHEKESHO CHA MKUDE SIMBA AKISHIRIKIANA NA KITALE




 STAN BAKORA ni msanii wa vichekesho napenda kusema kua uyu ni msaanii mwenye kipaji sana  kwenye kichekesho cha mkude simba yeye alikua akiigiza sauti ya ney wa mitego na yule mwenya sauti ya kirugulu ni msanii KITALE rais wa mateja 

STAN BAKORA  akiwa na msanii mwezake ZIMWI

iyo picha ukiangalia unaweza sema hawa ni ndugu lakini haiko ivyo kiukwel NEY wa MITEGO ana mpenda sana STAN BAKORA  

 Stany bakora na Mzee Majuto
 
STANY BAKORA
 STANY BAKORA{KATIKATI} RADO KUSHOTO NA GABO KULIA

VIJANA WA YOUNG INFORMATS WAKIWA KWENYE SEMINA YA KAMPENI YA ACHA TAMAA TIMIZA MALENGO WATAZAME HAPA


 
KAMATI YA USIMAMIZI NA MIPANGO KUTOKA YOUNG INFORMAT'S

 

 NEMBO YA USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI YA KAMPENI AMBAYO SOON ITAANZA HAPA NCHINI KWETU TANZANIA INAYO KWENDA KWA JINA LA {ACHA TAMAA TIMIZA MALENGO YAKO}
 VIJANA WA YOUNG INFORMATS WAKIPOKEA SEMINA KUTOKA KWA MENEJA MASOKO WA TANZANIA POSTA BANK NDUGU. ERIC
BW. FREDAKIWAPA VIJANA SOMO LA KAMPENI HII AMBAYO WANAKWENDA IFANYA SOON MWEZI HUU
 
 BW. FRED AKIWAPA VIJANA SOMO LA KAMPENI HII AMBAYO WANAKWENDA IFANYA SOON MWEZI HUU

 VIJANA WAKISIKILIZA MAELEKEZO KWA UMAKINI ZAIDI
  VIJANA WAKISIKILIZA MAELEKEZO KWA UMAKINI ZAIDI
PICHA YA PAMOJA  BAADA YA KUFUNGA KIKAO
PICHA YA PAMOJA  BAADA YA KUFUNGA KIKAO

PICHA NA MATUKIO KWA UDHAMINI WA M.MEDIA 

DIRECTOR NICK DIZZO AACHANA NA E-MEDIA SASA AMEANZISHA KAMPUNI YAKE MWENYEWE INAITWA FOCUS FILMS


Kama umeshaiona video mpya ya rapper anaeiwakilisha Mbeya City, Izzo Bizness ‘Tummoghele’ iliyotoka rasmi Ijumaa iliyopita, utagundua kuwa video hiyo imefanywa na director yule yule aliyefanya video zake zilizopita aitwaye Nick Dizzo lakini safari hii sio kupitia kampuni ya E-Media

Nick Dizzo ameiambia Bongo5 exclusively kuwa kwa sasa ana kampuni yake mpya iitwayo ‘Focus Films’ ambayo imechukua nafasi ya E-Media aliyokuwa akishirikiana na Sama Jahn.

“E-Media pia ilikuwa company yangu, ila kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu kwa sasa natumia company yangu mpya ya Focus Films, ina team mpya ambayo iko focused zaidi kwenye kazi”.

Dizzo ambaye pia alidirect video ya Quick Rocka ‘My Baby’, amesema kampuni ya E-media haitakuwepo tena, pia kuanzia sasa atakuwa akisimama mwenyewe kama director tofauti na mwanzo kila video ilikua inasomeka majina mawili likiwemo la Sama Jahn.

“one of the changes pia ni hivyo, nitakuwa niko peke yangu kama director”.Alisema Dizzo

Baadhi ya video zingine zilizotayarishwa na Nick Dizzo chini ya E-Media ni pamoja na ‘Love Me’ ya Izzo B, ‘Nafanya’ ya Cyril ft. Jux, ‘Going Crazy’ ya Hemed PHD na ‘Lovely’ ya Gelly wa Rhymes.

Tummoghele ya Izzo B na Nishike mkono ya D-Knob ndio za kwanza kufanywa na Nick Dizzo kupitia Focus Films.

comming soon VIDEO FROM AMINI -NOVEMBER OR DECEMBER LOOK HERE

M.MEDIA INASAMBAZA NYIMBO HII SOON USIKOSE KUTEMBELEA HUMU ILI KUJIONE MAMBO MENGI ZAIDI

DOCUMENTARY EXPOSES THE LACK OF PRESS FREEDOM IN TANZANIA


Habari hii Imeandikwa na Mtandao wa Niaje.com kutoka Kenya....Jisomee na Angalia hiyo VIDEO HAPO Chini:

"Tanzania has always sent the message of the most free and politically stable country in the region through very controlled journalism, making it even seem to be one of the countries in Africa with the least corruption. But that as I have said before, is just an image created by the government’s PR machinery. There is no freedom of speech in Tanzania, the police are mighty and politicians are semi-gods. Corruption is a way of life and compromise of human rights is the order of the day.


However, Tanzania is a haven according to the west. Just before his retirement, former US president George Bush made a visit to Tanzania and had long talks with President Kikwete. We all know that the “US does not engage with human rights violators” and maybe that is why both President Obama and Bush ironically picked Tanzania as their choice destination in the region.

A new documentary that has just been published on YouTube seems to tell the true story of what is happening in the media in Tanzania, exposing how journalists are humiliated, attacked and even killed for speaking out and trying to educate the public.

It goes far to show how the press in Tanzania has been reduced to a PR machine for the government. Here is the documentary by Annastazia Rugaba that will leave you speechless. VIDEO:

WHEAT CLICK THIS PHOTO