Slider[Style1]

HABARI

BONGO MOVIES

BONGO FLEVA

.

BONGO VIDEOS

Style5[ImagesOnly]

STORY ZA INSTAGRAM

Ja Rule,Pesa nyingi,nafasi nzuri kwenye filamu kubwa,mpaka leo anajuta kukata.


Muongozaji wa filamu za “2 Fast 2 Furious” John Singleton amezungumzia jinsi Ja Rule alivyokataa kulipwa nusu ya dola milioni moja ilikufanya filamu hio. 2 Fast 2 Furious imetajwa kuwa filamu kubwa zaidi inayohusu magari na maisha ya watu na muongozaji huyo amesema Ja Rule alijiskia mkubwa sana wakati huo ndio maana alikata nafasi hio.
John Singleton anasema baada ya Ja Rule kuringa ndio nafasi akapewa rapa Ludaris na ameitendea haki sana nafasi hio. John anasema alikutana na Ja Rule miaka kadha baadae na nikamwambia nikimpigia simu tena asidharau ofa zangu na yeye aliomba msamaha, sasa tuko sawa. Ja Rule aliigiza kwenye filamu ya kwanza ya Fast and the Furious.

ROSE NDAUKA "NDOA YANGU SOON!"

MSANII maarufu wa sinema za Kibongo, Rose Ndauka amesema kuwa watu wasiwe na wasiwasi kwani kwa mipango ya Mungu atafunga ndoa na mzazi mwenzake Maliki Bandawe hivi karibuni.

“Si muda mrefu mambo yatakuwa mazuri tulikuwa tunaendelea kujuana, nadhani sasa tunafahamiana vizuri hivyo watu wasiwe na shaka, tutafunga ndoa soon,” alisema.

Rose ambaye hivi karibuni alihamasisha zoezi la usafi na kuungwa mkono na wasanii mbalimbali akiwamo Meya wa Ilala Jerry Slaa, alisema watu wasihofu kuhusu ndoa hiyo kwani ipo njiani.

“Hatujui labda kuchelewa kwetu kuna kitu Mungu amekiepusha, siku zote haraka haraka haina Baraka,” alisisitiza Ndauka ambaye amepanga kutembea Tanzania nzima kuwahamasisha wananchi kuzingatia usafi. 0

KANUMBA DAY YAZUA KIZAA ZAA UMEME WAKATIKA MARA TATU NDUGU WASANII WAHAHA UKUMBINI

 Wasanii wakiwa kwenye nyuso za huruma wakati wanamsikiliza mwenyekiti wa shirikisho la sanaa tanzania taff bwa simon mwakifamba akitoa neno.
 ufunguzi wa kanumba foundation ukiendelea baada ya umeme wa jenereta kuja kutoka kwenye kampuni ya clouds fm chini yake luge mutahaba
 batuli kushoto katikati ni simon mwakifamba rais wa taff tanzania na kulia ni mama wa marehemu kanumba wakiwa wanafungua kanumba foundation na hicho kitabu alicho shika mwana dada batuli ni katiba ya foundation hiyo
 haya sasa show time ikafika na Jb au Eric ford alishindwa kukata aibu na kuangusha moja moja
 show time na JB
katika ni msanii mtoto nyota ambae ali ng'ara sana kwenye movie ya uncle JJ akicheza kama {patrick}
kushoto ni mkurugenzi wa kampuni ambayo imepiga picha hizi kushirikiana na MABOVU STORY naizungumzia M.MEDIA na kulia ni msanii wa maigizo yanayo rushwa na runinga ya itv {hussein juma kambangwa}

DUDE APEWA MAKUVU LIVE BAADA YA KAULI YAKUE KUWA WASANII KIKE BONGO MOVIE WAMETOKEA KWENYE UCHANGUDOA


WASANII wa kike wanaotamba kwenye filamu za Kibongo, hivi karibuni wamembwatukia staa mwenzao, Kulwa Kikumba ‘Dude’ na kuipinga kauli yake kwamba mastaa wengi wa kike wametokea kwenye uchangudoa na kuvamia tasnia hiyo, shuka na mistari uipate habari hii.

Wakizungumza na Risasi Jumamosi, mastaa hao wamemtaka Dude kuacha tabia ya kuropoka kwani kauli yake imewavunjia heshima mbele ya jamii.

Baadhi ya mastaa waliotoa kauli za kumbwatukia Dude na kauli zao ziko hapa chini ni hawa wafuatao: 

TAMRINA POSHI ‘AMANDA’ 
“ Ni heri Dude aache kuzungumza vitu visivyokuwa na maana, ajifunze  mambo mazuri kwani ni mtu mzima sasa. Kila mara anatuponda wasanii wa kike, kila mtu ana maisha yake kama wapo wanaofanya uchangudoa hao ni hulka zao, sina tabia hiyo na sanaa nimeianzia kwenye vikundi .”

Upendo Mushi 'Pendo'.
 UPENDO MUSHI ‘PENDO’ 
“Kauli ya Dude siyo ya kweli kama wapo ni  baadhi na siyo wote, sijaingia kwenye sanaa kwa rushwa ya ngono na sina tabia hizo, sijaipenda kauli yake.” 

BABY MADAHA
“Siyo kweli kwamba sisi ni machangudoa . Wasanii wa kike wenye tabia hizo wanatoka katika maisha duni na wale wanaolipwa malipo duni kwenye filamu lakini wengine tumetokea kwenye familia   za hadhi na tunaishi kwa kufuata maadili.”
HALIMA YAHAYA ‘DAVINA’
“Sijaipenda kauli ya Dude, ametukosea sana ingawa watu wengi wanaona tasnia hii ni kama  ya kihuni lakini siyo wote wenye tabia hizo za kihuni, wengine tunajiheshimu na tuna familia zetu tunaithamini sanaa  tunaichukulia kama kazi.”

SNURA MUSHI
“Dude ameongea uongo, binafsi siko hivyo na sina maisha ya kuzurura, starehe na pombe na sitarajii kuwa na maisha hayo, ili heshima yake iendelee, angetuomba radhi na kuifuta kauli yake.”
MIRIAMU JOLWA ‘JINI KABULA’
“Huo ni mtazamo wa Dude, wasanii wa kike tunatakiwa kumuombea kwa Mungu ili ampe akili za kuweza kuzungumza vitu vya maana na siyo hivyo vya kutushushia heshima kwenye jamii.”

WASTARA AWAPASUKIA WAANDISHI WA HABARI , NA HICHI NDICHO ALICHOKISEMA

Muigizaji wa kike wa filamu za kiswahili, Wastara Juma amesema tangu mme wake Juma Kilowoko aka Sajuki afariki anakutana na changamoto nyingi kwenye mazingira yaliyomzunguka kwa sasa.


Akizungumza na tovuti ya Times FM 100.5, Wastara amesema tangu Sajuki afariki kumekuwa na taarifa zisizo za kweli zinazodai kwamba amepata mume.

MSANII WA BONGO MOVIE ASIMULIA ALIVYO HONGWA TSH MILION 5 ILI AFANYE MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE

Msanii anayeuza nyago kwenye filamu za
Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’
amefunguka kuwa analaani mastaa
wanaokubali kutumiwa kimapenzi kinyume na
maumbile akidai kuwa wapo ambao
wamekuwa wakifanya kitendo hicho kwa tamaa
ya pesa.
Akiongea  na gazeti la Ijumaa, Koleta alisema
anachukizwa na tabia hiyo kwani ni uchafu na
kujidhalilisha kulikopitiliza.
“Wanaume siku hizi ni matapeli sana, wengi
wanataka kuwatumia wanawake kinyume na
maumbile hivyo wasanii wa kike tuwe macho.

MADENI YAMUUMBUA MSANII WA BONGO MOVIE....


STAA wa filamu za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ kwa mara nyingine tena amekumbwa na tuhuma za kukwepa kulipa deni la shilingi 400,000 analodaiwa na staa mwenzake, Husna Iddi ‘Sajenti’..

WHEAT CLICK THIS PHOTO