Slider[Style1]

HABARI

BONGO MOVIES

BONGO FLEVA

.

BONGO VIDEOS

Style5[ImagesOnly]

STORY ZA INSTAGRAM

MTOTO WA DAVIS MOSHA AITWA CHELSEA KUFANYA MAJARIBIO,TAZAMA AKIFANYA MAHOJIANO NA VOA

Picture
Davis Mosha "The Boss" akifanya mahojiano na kituo cha VOA jijini Washington DC, kulia ni mwanae Edgar

WATHUMIWA WALIOKAMTWA NA MADAWA YA KULEVYA CHINA NA HONG KONG WAFUNGUKA NA KUANZA KUWATAJA WAKUBWA WAO

Mbunge Wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania kutoka jimbo la Kinondoni, inasemekana ametajwa na wafungwa wa kitanzania waliofungwa jela huko nchini Hong Kong kuhusika na biashara ya madawa ya kulevya.....

MSHIRIKI WA BIG BROTHER KUTOKA TANZANIA NANDO AZUA UGOMVI MKUBWA NA ELIKEM KUTOKA GHANA


The House came to a standstill this evening when Nando and Elikem got into a fight of epic proportions.

All sorts of unpalatables were hurled at Elikem by Nando, who finds Elikem's childish ways offensive. "You're a b*tch n*gga. You're 24 and I'm 22 but you shake your butt in front of the cameras. Who does that? Now I'm regretting why I never Nominated you," an aggravated Nando said. Nando was clearly pulling the wool over everyones eyes because he actually Nominated Elikem on Monday.....

Mbunge wa Sweden aweka kimakosa picha inayoonesha sehemu zake za siri Instagram hii ni wakati akitaka kuionyesha tatoo ya Liverpool


Mwanasiasa mmoja wa Sweden anayeonekana kuwa member mzuri wa mtandao unaozidi kupata umaarufu bongo wa Instagram, katika hali ya ushabiki na kutaka kushare picha ya tattoo yake ya Liverpool FC iliyochorwa katika mguu wake wa kushoto , kwa bahati mbaya alijikuta akionesha mpaka sehemu za ‘ikulu ya mwili’.
Lars Ohly mwenye miaka 56, anayeonekana kuwa shabiki mkubwa wa timu ya Liverpool, baada ya kuweka picha hiyo bila kujua huwa ‘Mr Ohly’ pia ameonekana, aliifuta haraka japokuwa tayari watu walikuwa wameipata.....

#NI FOLLOW KWENYE INSTAGRAM NA TWITTER KUPITIA HAJI MABOVU


MABOVU STORY
HAJI MABOVU

WHEAT CLICK THIS PHOTO