Slider[Style1]

HABARI

BONGO MOVIES

BONGO FLEVA

.

BONGO VIDEOS

Style5[ImagesOnly]

STORY ZA INSTAGRAM

Picha, Muonekano ndani ya Nyumba ya Zari da Boss lady wa Diamond Platnumz.


D-city1
Amekuwa akiongelewa kama mwanamke mwenye pesa na biashara kibao huko Uganda na Afrika Kusini, Zari amehusishwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii Diamond Platnumz kutoka Tanzania na wameteka vichwa vya habari nje na ndani ya Afrika mashariki.
Hizi ni picha za ndani ya nyumba yake.
Screenshot_2015-01-15-20-17-41-1 Screenshot_2015-02-04-04-24-40-1

Picha: Diamond akizungumza na waandishi wa habari jana Escape One baada ya kutua nchini


Mshindi wa tuzo tatu za Channel O,staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz akizungumza na waandishi wa habari jana,Escape One,Mikocheni,jijini Dar baada ya kutua kutoka nchini Afrika Kusini.Mmoja wa mameneja wa Diamond,Mkubwa Fella akizungumza na waandishi wa habari na mashabiki waliofika kumpokea Diamond akitokea nchini Afrika Kusini kwenye tuzo za Channel O.

Picha za Diamond Platnum akiwa na Mama yake na meneja wake wakiingia katika Red Carpet ya #CHOAMVA14


meneja wake wakiingia katika Red Carpet ya #CHOAMVA14
 Mungu Ibariki Tanzania

Baada ya Diamond Kukosa Tuzo Instagram Pamechafuka, Diva Ajitoa Team Wema

Daah hii ni NOUMA sana...Kama mnavyojua, Msanii wetu hapa 255,  Diamond hakufanikiwa kupata TUZO  za MTVmamaAWARD hapo jana  huko South Africa. (Sio mbaya sana kushiriki tu kwangu Diamond ni ushindi)
Na kama unavyojua tena huko kwenye mtandao wa  INSTAGRAM kuna AKAUNTI  mbalimbali ambazo zina  WSAPOTI Diamond na Wema na zingine hazi WASAPOTI... Kwa kifupi wapo walio ponda na wengine kumpongeza kwa hatua aliyofikia...ISHU YENYEWE NI HIVI!!
Diva wa Clouds FM kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM na alijitokeza na kumpongeza DAVIDO kwa kuchukua TUZO kuwa ndio alikuwa ana DEZEVU (Best Male: Davido (Nigeria) ambayo pia Diamond alikuwa anashindania)....hapa ndio MOTO ukawaka...wale wote (wengi wao) wanaojiita TEAM WEMA walimuibukia na kumponda sana DIVA ambae hivi karibuni sema hadharani kuwa yeye ni TEAM WEMA [SOMA HAPA]
Kufuatia KOMENT  nyingi kutoka kwa watu wa TEAM WEMA kumtukana na ku DIS na Kususia kwenda kwenye SHOW  yake ambayo itafanyika leo BILLS
Diva amewaponda Team  Wena na kujitoa Rasmi :

THE PHOTOS THAT HAVE SPARKED VICTORIA KIMANI & DIAMOND PLATNUMZ DATING RUMORS

The PHOTOS That Have Sparked Victoria Kimani & Diamond Platnumz Dating Rumors

The One ‘Do Agric’ campaign has brought together atleast 22 African artistes to promote Agriculture among them our very own Victoria Kimani, Tanzania’ s finest artistes Diamond Platnumz, AY, Mwana FA among others but it is the closeness between Vicky and Diamond that has got their fans talking.
After Victoria Kimani uploaded two photos of her with Diamond via her instagram page, most of the fans noted the chemistry between them and with that came the speculations.What is funny is the fact that Diamond Platnumz cannot be spotted with any hot female without dating rumours arising but that can be blamed on the reputation he has with women.

Diamond’s love life has always kept him in the limelight especially because he has dated some of Tanzania’s finest women. Diamond and Victoria are just having a great time working together but you cant blame their fans for trying to have fun because truth be told, they do look good.

While you are at it, make sure you get the message which they are trying to send which is ‘DO AGRIC, IT PAYS!’.Here is another photo

WEMA,DIAMOND WAFUNGIWA KAZI!, MAMA WEMA AWASAKA MTAA KWA MTAA

HABARI mpya! Mama wa Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu, Mariam Sepetu anadaiwa kuingia rasmi mitaani akiwasaka wapenzi, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Wema, chanzo cha uhakika kimesema na Amani.
Kwa mujibu wa chanzo hicho makini, mama Wema ameamua kuchukua uamuzi huo baada ya kusikia taarifa kutoka kwa watu kwamba, Diamond amekuwa akisambaza maneno mitaani kuwa haogopi vitisho vya mwanamke huyo kufuatia hatua yake ya kumrudia binti yake.
ILIKUWAJE KWANI?

MAKALA:DIAMOND PLATNUMZ, THE HITMAKER, THE HEARTBREAKER

DIAMOND PLATNUMZ "MWANAMKE ANAYEKAMILISHA MAISHA YANGU"

PICHA ZA UCHI ZA MPENZI WA DIAMOND ZAVUJA....


WHEAT CLICK THIS PHOTO