Wasanii
wakiwa kwenye nyuso za huruma wakati wanamsikiliza mwenyekiti wa
shirikisho la sanaa tanzania taff bwa simon mwakifamba akitoa neno.
ufunguzi wa kanumba foundation ukiendelea baada ya umeme wa jenereta kuja kutoka kwenye kampuni ya clouds fm chini yake luge mutahaba
batuli
kushoto katikati ni simon mwakifamba rais wa taff tanzania na kulia ni
mama wa marehemu kanumba wakiwa wanafungua kanumba foundation na hicho
kitabu alicho shika mwana dada batuli ni katiba ya foundation hiyo
haya sasa show time ikafika na Jb au Eric ford alishindwa kukata aibu na kuangusha moja moja
show time na JB
katika ni msanii mtoto nyota ambae ali ng'ara sana kwenye movie ya uncle JJ akicheza kama {patrick}
kushoto ni mkurugenzi wa kampuni ambayo imepiga picha hizi kushirikiana na MABOVU STORY naizungumzia M.MEDIA na kulia ni msanii wa maigizo yanayo rushwa na runinga ya itv {hussein juma kambangwa}
No comments: