Ijumaa wiki iliyopita Castle LITE ilidhamini pati ya JUST GOT PAID
iliyofanyika Azura, Mikocheni. Pati hii ni ya madhumuni ya watu
kusherekea mwisho wa mwezi na kuburudika kwa kinywaji cha Castle LITE na
muziki bomba.
Wageni katika sherehe hii pia walihimizwa kushiriki katika shindano la
kujishindia zawadi kutoka Castle LITE ambapo walitakiwa kutembelea
tovuti ya
www.castlelite.co.tz
kujiunga katika droo. Zawadi za kujishindia ni Samsung Galaxy Tab,
T-shirt, Kofia na Key holder za Castle LITE pamoja na Castle LITE za
kopo. Picha kadhaa kutoka pati hii watu wakiburudika na Castle LITE
jioni hiyo
Just Got Paid Ilivyofana

No comments: