KAMATI YA USIMAMIZI NA MIPANGO KUTOKA YOUNG INFORMAT'S
NEMBO YA USIMAMIZI NA UTEKELEZAJI YA KAMPENI AMBAYO SOON ITAANZA HAPA NCHINI KWETU TANZANIA INAYO KWENDA KWA JINA LA {ACHA TAMAA TIMIZA MALENGO YAKO}
VIJANA WA YOUNG INFORMATS WAKIPOKEA SEMINA KUTOKA KWA MENEJA MASOKO WA TANZANIA POSTA BANK NDUGU. ERIC
BW. FREDAKIWAPA VIJANA SOMO LA KAMPENI HII AMBAYO WANAKWENDA IFANYA SOON MWEZI HUU
BW. FRED AKIWAPA VIJANA SOMO LA KAMPENI HII AMBAYO WANAKWENDA IFANYA SOON MWEZI HUU
VIJANA WAKISIKILIZA MAELEKEZO KWA UMAKINI ZAIDI
VIJANA WAKISIKILIZA MAELEKEZO KWA UMAKINI ZAIDI
PICHA YA PAMOJA BAADA YA KUFUNGA KIKAO
PICHA YA PAMOJA BAADA YA KUFUNGA KIKAO
PICHA NA MATUKIO KWA UDHAMINI WA M.MEDIA
No comments: