STAN BAKORA ni msanii wa vichekesho napenda kusema kua uyu ni msaanii mwenye kipaji sana kwenye kichekesho cha mkude simba yeye alikua akiigiza sauti ya ney wa mitego na yule mwenya sauti ya kirugulu ni msanii KITALE rais wa mateja
STAN BAKORA akiwa na msanii mwezake ZIMWI
iyo picha ukiangalia unaweza sema hawa ni ndugu lakini haiko ivyo kiukwel NEY wa MITEGO ana mpenda sana STAN BAKORA
Stany bakora na Mzee Majuto
STANY BAKORA
STANY BAKORA{KATIKATI} RADO KUSHOTO NA GABO KULIA
No comments: