July
07 ni siku ambayo Mama mzazi wa Diamond Platnumz anaadhimisha siku yake
ya kuzaliwa na Diamond Platnumz aliahidi kutoa video zake mbili kama
zawadi kwa mama yake ambazo zote kafanyia nje ya nchi.
Hii ni video ya Bum Bum.
Hii ni video ya Mdogo Mdogo.
No comments: