Ukizungumzia
taifa ambalo limetoa mastar kadhaa wa soka Duniani hutoacha kulitaja
Brazil hii ni kufuatia rekodi zake kadhaa ambazo limewahi kujiwekea
kwenye medali ya soka duniani leo limeingia kwa headline tena taifa
hili.
Ni kuhusu mtoto mdogo amabye kwa kumtazama anaweza kuwa na umri
usiozidi miaka 3,amekua ni miongoni kati ya walioumizwa na taarifa za
kidaktari zinazomhusu mchezaji Neymar kuwa hatocheza mechi nyingine za
Kombe la Dunia.
Kama
unakumbuka Neymar alipata majeraha baada ya kuumia kwenye mechi
iliyochezwa kati ya Brazil na Colombia na katika mechi hiyo Brazil
ilifanikiwa kushinda goli 2-1 na kufanikiwa kuingia nusu Fainali.
No comments: