MSANII NGULI WA MAIGIZO NCHINI TANZANIA NDG.HUSSEIN JUMA NANGUNI ALMARUFU KAMA KAMBANGWA ameiambia blog ya mabovu story kUwa anapenda kuwaambia wapenzi wake au mashabiki wake kuwa anatarajia kutoa moive yake mpya inayo kwenda kwa jina la MR GEA alio washilikisha wasanii marufu tanzania kama jacline worper,mzee chiro na wengineo wengi so watch out kazi hii ya msanii huyu mtoto mwenye umri wa miaka 17 sasa lakini amekuwa akifanya ramani ya tanzania ibadilike kwenye swala zima la moive akiwa sambamba na kampuni yake inayo kwenda kwa jina la KAMBANGWA FILM COMPANY
Latest
m.media photographer_mimi. Powered by Blogger.
Featured author
admin
PostsThe Admin is a powerful person in this world, more powerful than the president of USA. The very mention of admin sends shivers down the president. You have been warned!
Home
Unlabelled
KAMBANGWA AINGIZA MOIVE YAKE SOKONI
Tagged with:
About ujugu
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ABOUT ME
- Popular Post
- Video
- Category
HOT NEWS
-
Diamond akiwa na mkubwa wake wa kazi
-
Since its founding, Ketebul has been focused on ‘Bridge’ artists – the key artists that created certain genre that link the tribal mus...
-
Wanajeshi wa Brigedi Maalum wakiwa katika mazoezi makali yaliyofanyika hivi karibuni huko Goma Mashariki ya Demok...

MIMAONI YANGU KUWA DOGO AKAZE BUTI KWANI BADO ANA SAFARI NDEFU SANA KATIKA SANAA ILA BIG UP XANA DOGO
ReplyDelete