DIRECTOR ambae ana sadikika kuwa ni mdogo kiumri ila ni mkubwa katika kazi ni huyo hapo chini anakwenda kwa jina la michael mick au the DIRECTOR akiwa amefanya kazi na wasanii wakubwa kama MBOTO,IREN UWOYA,DUDE,AUNT EZAKIELMRISHO MPOTO NA WENGINEO WENGI pia amefanya kazi na ma director wakubwa kama RASHIDI MRUTU,JHON LISTER,PAUL JHON,KANUTI Kiukweli ukimuona unaweza kumzarau ila kama ungejua kuwa kijana huyo ndie alie fanya EDITING YA moive kama BORA MIE MBOTO chini ya directo john lister,ULIMI ya IRINE UWOYA chini ya director rashidi mrutu. na nyingi nezo nyingi pia kijana huyu amechukua tuzo ya kuwa DIRECTOR MDOGO AFRICA ANAE FANYA VIZURI ZAIDI KWENYE INDUSTRY YA MOIVE
MICHAEL MICK A.K.A THE DIRECTOR APATA HESHIMA YA KUWA...........

No comments: