Slider[Style1]

HABARI

BONGO MOVIES

BONGO FLEVA

.

BONGO VIDEOS

Style5[ImagesOnly]

STORY ZA INSTAGRAM

WELCOME MZEE YUSSUF IN LONDON ON SAT 8FEBRUARY THE VILLE

 mzee yussuf pamoja na crew nzima ya jahazi modern taarabu itahakikisha wakazi wa uingereza pande za london wanakuwa vizuri zaidi kiburudani maana wataangusha ambushi ya kutosha siku ya jumamosi ya tarehe 8 mwezi wa pili ivyo basi wapenzi wa taarabu nchini uingereza huu ndio wakati wenu tusogee pale the ville kukamilsha burudani hii

KITALE ALAANI KUHUSISHWA NA MALI ZA SHARO, SOMA HAPA ALICHOKISEMA

Msanii  wa  Commedy nchini na muimbaji wa bongo fleva  Kitale  rais wa mateja, amekanusha taarifa zinazomuhusiha na mali za Marehemu Sharo milionea.
  Katika  A/C yake ya BBM Kitale ameandika 

MTOTO ABAKWA NA KUWEKWA MIWA SEHEMU ZA ZILI MPAKA KUFA...!!! (+18)

Vanusia Silva Pereila mdada mwenye miaka 9 mkazi wa kijiji kimoja nchini brazil,mapema wiki hii amebakwa karibu na shamba la miwa na watu wanaoaminika kuwa ni watumiaji wa madawa ya kulevya.......

MAMA AMCHOMA MWANAWE MCHANGA MARA 90 KWA MKASI KISA ETI ALIMG'ATA ZIWA WAKATI WA KUNYONYA

Ni kama miujiza kwa mtoto wa kichina kuwa hai mpaka sasa licha ya kuchomwa chomwa mara 90 na mama yake mzazi huko China kwa madai kuwa alimng’ata ziwa mama yake wakati akinyonyeshwa.
Kwa mujibu wa Daily Mail mtoto huyo Xiao Bao mwenye miezi 8 tu ameshonwa zaidi ya nyuzi 100 ili kuurudisha uso wake katika hali nzuri baada ya shambulizi hilo lililotokea katika jiji la Xuzhou mashariki mwa China.


Bao anaishi na mama yake pamoja na wajomba zake wawili ambao wanajishughulisha na ukusanyaji wa taka kwaajili ya kipato. Mmoja wa wajomba hao ndiye aliyegundua kuwa Bao ameumizwa baada ya kumkuta akiwa amelala kwenye damu iliyotapakaa nyumbani hapo kabla hajamkimbiza hospitali.......

CHADEMA YAIVURUGA VIBAYA CCM UCHAGUZI WA MADIWANI ARUSHA

Arusha. Chadema kimethibitisha umwamba wake katika siasa za Jimbo la Arusha Mjini, baada ya kutetea kwa kishindo kata zake nne kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani uliofanyika jana.

Katika uchaguzi huo uliokuwa unasubiriwa kwa hamu na ambao ulichukuliwa kama kipimo cha siasa za Arusha ambazo zimekuwa na mvutano mkubwa, Chadema kiliongoza katikia vituo vyote 136 vya kupigia kura Kata za Elerai, Kaloleni, Kimandolu na Themi.

Kata hizo zilikuwa wazi tangu mwaka 2011 baada ya Chadema kuwatimua wanachama wake waliokuwa madiwani Estomih Mallah(Kimandolu), John Bayo (Elerai), Reuben Ngowi (Themi) na Charles Mpanda (Kaloleni).

Matokeo.......

TANGAZA NA MABOVU STORY

TANGAZA NASI KWA MATANGAZO YAKI BIASHARA,KIJAMII NDANI YA BLOG YA MABOVU STORY KWA BEI CHEE TEMBELEA KATIKA OFISI ZETU ZILIZOPO MOROGORO RD -KIMARA ROMBO AMA WASILIANA NA MTOA HUDUMA KWA WATEJA HANCE SALEHE KWA SIMU NUMBER 0719286435
                                                                                                                             0714393024
 AU SOCIAL NETWORK WWW.facebook/hajimabovu
                                            www.twitter/hajimabovu
                                            www.facebook/hance salehe
                                   www.hajimaabovu.blogspot.com

WHEAT CLICK THIS PHOTO