mzee yussuf pamoja na crew nzima ya jahazi modern taarabu itahakikisha wakazi wa uingereza pande za london wanakuwa vizuri zaidi kiburudani maana wataangusha ambushi ya kutosha siku ya jumamosi ya tarehe 8 mwezi wa pili ivyo basi wapenzi wa taarabu nchini uingereza huu ndio wakati wenu tusogee pale the ville kukamilsha burudani hii

No comments: