HATIMAYE SASA BBM KUANZA KUPATIKANA KWENYE ANDROID NA iOS APPLICATIONS
Kama ulimiss au unawish kutumia BBM application kwenye simu yako ya Iphone or Samsung sasa BBM itapatikana weekend hii kwenye simu za Android na iOS. Upatikana ji wa BBM kwenye platform nyingine ulitangazwa mapema mwaka huu na C.E.O Thorsten. Kutoka kwenye vyanzo vya kampuni hiyo sasa hivi wamesema siku ya jumamosi watumiaji wote wa Android na iOS wataanza kufurahia huduma ya BBM kwenye simu zao.
No comments: