Msanii Jose Chameleone na familia ya Mayanja wakiwa kwenye kanisa la Lweza Catholic Cathedral kwenye misa ya kumuada mdogo wao ambaye alikuwa msanii pia Akay47 [ Emmanuel Mayanja Hummertone ] aliyefariki usikuwa wa March 16 huko Uganda akiwa kwenye bar ya Rhyno alipokwenda kutangaza wimbo wake mpya. Habari

No comments: