Slider[Style1]

HABARI

BONGO MOVIES

BONGO FLEVA

.

BONGO VIDEOS

Style5[ImagesOnly]

STORY ZA INSTAGRAM

Mambo Ya Skylight Kishkwambi Amazing


 
 
Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower akiimba na kucheza moja ya Sebene la Kikongo pamoja Sony Masamba.

Sony Masamba ambaye ni mmoja wa waimbaji wa Skylight akiendelea kutoa burudani huku akisindikizwa na waimbaji wenzake kulia ni Sam Mapenzi na kushoto ni Joniko Flower


 Wakati Sam Mapenzi akiimba wimbo wa "All of Me" mdada huyu ulimgusa sana mpaka akashindwa kujizuia akaamua afanye ya kwake

Picha,Zari awaonyesha tumbo waliosema mimba ya kuigiza.


 ZARI & DIAMOND PLATNUMZ
Baada ya kuwa na uvumi kuwa mimba ya Zari ni kiki tu ,Boss lady huyu kutoka Uganda ameweka picha inayonyesha mabadiliko ya tumbo lake mpaka sasa.

Picha,Familia ya Chameleone kanisani wakati anaagwa mdogo wake Emmanuel Mayanja Hummertone ‘Ak47′.

Msanii Jose Chameleone  na familia ya Mayanja wakiwa kwenye kanisa la Lweza Catholic Cathedral kwenye misa ya kumuada mdogo wao ambaye alikuwa msanii pia Akay47 [  Emmanuel Mayanja Hummertone ] aliyefariki usikuwa wa March 16 huko Uganda akiwa kwenye bar ya Rhyno alipokwenda kutangaza wimbo wake mpya. Habari




 

Picha,Rich Mavoko Kwenye Utengenezwaji Wa Video Mpya’Toto Tundu’

Msanii Rich Mavoko anafunga mwaka 2014 kwa kutoa video kwa kufululiza. Baada ya video yake ‘Pacha Wangu’ kutoka,sasa anakuja na video nyingine ambayo amefanya na Adam Juma. Video itaitwa Toto Tundu.
Kwenye video hii ameigiza kama Kichaa.
rich 1

 rich 2

 rich 3

WHEAT CLICK THIS PHOTO