Slider[Style1]

HABARI

BONGO MOVIES

BONGO FLEVA

.

BONGO VIDEOS

Style5[ImagesOnly]

STORY ZA INSTAGRAM

 Msanii wa bongo fleva tanzania bell9 ameliambia gazeti hili la mabovu story kuwa mashabiki wake wasione kimya sana kwenye maredio enterview na tv stastion coz kwa sasa ana andaa albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la VITAMIN MUSIC soon itakuwa mzigoni kabla ya mwaka huu kuisha hivyo basi wapenzi na wadau wa msanii huyu wawe tayari kwa kuipokea albamu hiyo.Msanii bell9 aliongea hayo leo akiwa safarini kwenye tour za show zake kwenye mikoa ya TANZANIA

About ujugu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

WHEAT CLICK THIS PHOTO