Baada
ya thesuperstarstz kufika eneo la tukio lilifanikiwa kuona jinsi askari
wa zima moto walivyokuwa wanajitaidi japo walishachelewa kwani moto
ulishateketeza eneo lote .
Makachero wa thesuperstarstz
wakiwa eneo hilo la tukio walianza kumsaka mmiliki wa eneo lile ambae ni
raia wa kigeni na alipopatikana alisema kwasasa hana chakuongea kwani
hasara aliyoipata ni mungu tua ndio anajua
Askari
wa Kikosi cha Zimamoto wakiendelea kuzima moto ulioteketeza baa ya
Samaki Samaki iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Mwananchi akichukua baadhi ya matukio wakati moto ukiteketeza baa ya Samaki Samaki.
wananchi wakiangalia kwa umakini tukio zima wakati moto ukiteketeza baa ya Samaki Samaki.
Zimamoto wakitafakari jinsi ya kuzima moto huo.
Zimamoto wakizima moto katika gereji ya Xenco iliyopo jirani na baa iliyoteketea.
Wananchi wakishuhudia zoezi la uzimaji moto katika baa ya Samaki Samaki
No comments: