Msanii wa maigizo na filam anayetamba na thamhilia za itv hussein juma almarufu kama kambangwa alie tamba na michezo kama kivuli,taharuki,kovu la siri,kivuko na donda la kichwa.msanii huyo alipokutana na
mwandishi wa blog hii jana pande za leeders akiwa amelewa chakari na kutoa maneno ambayo yapo ndani ya moyo wake kuwa anampenda sana mwanadada zuwena mohamedi marufu kama shilole kwani mara nyingi alikuwa anakutana nae kwenye pita pita zake.hivyo basi anasema angetamani ata siku moja kulala na mwanamuziki huyo kwani anamvuto kimapenzi na yupo ladhi japo ni mdogo kiumri lakini kama shilole takuwa nae atafurahi sana
so UJUMBE HUU AMEOMBA TUFIKISHE KWA SHILOLE AU KAMA KUNA MTU WA KARIBU WA SHILOLE AMTARIFU KUHUSU UJUMBE HUU AND THEN AMPIGIE KAMBANGWA KUTIPIA face book/hussein kambangwa
Latest
m.media photographer_mimi. Powered by Blogger.
Featured author
admin
PostsThe Admin is a powerful person in this world, more powerful than the president of USA. The very mention of admin sends shivers down the president. You have been warned!
About ujugu
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ABOUT ME
- Popular Post
- Video
- Category
HOT NEWS
-
Diamond akiwa na mkubwa wake wa kazi
-
Since its founding, Ketebul has been focused on ‘Bridge’ artists – the key artists that created certain genre that link the tribal mus...
-
Wanajeshi wa Brigedi Maalum wakiwa katika mazoezi makali yaliyofanyika hivi karibuni huko Goma Mashariki ya Demok...
No comments: