Slider[Style1]

HABARI

BONGO MOVIES

BONGO FLEVA

.

BONGO VIDEOS

Style5[ImagesOnly]

STORY ZA INSTAGRAM

OSTAZ JUMA AMUANIKA MKEWE NA MTOTO WAKE



Ostaz Juma (kushoto) akiwa na mkewe Mariamu na mwanae Hayyat
Mariamu Daudi
Mtoto Hayyan Juma
Ostaz Juma Namusoma
Ostaz Juma akiwa Cape of Good Hope
Baada ya usiri wa muda mrefu, bosi wa Mtanashati Entertainment, Ostaz Juma Namusoma ameamua kumuweka hadharani mkewe na mototo wake na hivyo kuzima zile tetesi kuwa Ostaz ni msela tu asiye na mke wala mtoto.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Ostaz Juma ameweka picha ya mkewe ajulikanaye kwa jina la Mariamu Daudi au mama Hayyan akiwa pamoja na mtoto wao wa kiume, Hayyan Juma.
Sambamba na picha hizo, Ostaz alisindikiza na maneno yasemayo:

“For those who didn't know that I have a wife and a kid, let it be known now...kwamba mimi nina mke na mtoto, nampenda sana mke wangu (mary david) na nampenda sana mwanangu hayyan boy hayyan juma. namuomba sana mungu atuhifadhi na maadui wa kibinadamu na wasio jua thamani ya familia ya mtu, eeh mola mjaalie mke wangu maisha marefu na afya na amani ya moyo wake na utulivu, utupe watoto wengine zaidi ya huyu, aamiin, nakupenda sana mke wangu popote utakapo kua ikumbuke familia yako”.

Kuibuka kwa Ostaz kumekuja wakati kukiwa na ukimya kuhusu kampuni yake aliyoianzisha ya kuendeleza vipaji vya wasanii ya Mtanashati Entertainment ambayo miaka miwili iliyopita iliibuka kwa kasi na kumrudisha tena kwenye game msanii  PNC, kuwapa sapoti akina Mkude Simba na marehemu Sharo Milionea.

Akizungumzia ukimya wa Mtanashati, Ostaz alidai kuwa kampuni yake haijafa na haiwezi kufa ila kwa uwezo wa Mungu na kusema kuwa hivi sasa ana dili na wasanii wachanga na soon atafanya surprise kubwa katika tasnia ya Bongo Fleva!

Hekaheka ya leo inamhusu muigizaji maarufu aliyesingiziwa mtoto. #Hekaheka

Single-Mtambalike-535
Hekaheka ya leo muigizaji maarufu Single Mtambalike maarufu kama Richie, ameelezea hekaheka yake ya kusingiziwa Mtoto na mwanamke kutoka Shinyanga ambaye alifika nyumbani kwake akiwa na mtoto mchanga na kudai ni mtoto wa msanii huyo.
Richie amesema wakati huo ndoa yake ilikuwa changa na mke wake alikuwa na mtoto mchanga kitendo ambacho kiliitikisa ndoa yake.
Jamaa anasema hakuwahi kumwona mwanamke huyo, hivyo baada ya kukasirishwa na kitendo hicho alijikuta akimpiga mwanamke huyo makofi.
96.0 Clouds Fm inasikika ukiwa Tanga.
Hapa unaweza kuisikiliza Hekaheka yote kwa kubonyeza play.

Zawadi Ya Birthday Aliyopewa Wema Sepetu Kutoka Kwa Diamond Platnumz.

IMG-20140928-WA0000 



IMG_20140928_233341
Ikiwa ni siku ya kuzaliwa ya Wema Septu ambaye ni mpenzi a msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnum, Wema amepokea zawadi mbali mbali kutoka kwa marafiki na Familia. Miongoni mwa zawadi zilizomshtua Wema ni kuletewa magari mawili likiwa moja kutoka kwa Diamond. Gari alilopewa Wema kutoka kwa Diamond ni Nissan Murrano Nyeusi na nyingine BMW kutoka kwa mtu ambaye bado hajatajwa.
Zawadi imeletwa kwa Wema na mama mzazi wa Diamond Platnumz. #HongeraWema Na HappyBday

wemaa 2

 wemaa

mabovu story.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook


Picha,Huyu Ndio Jamaa Anayesema Atafunga Ndoa Na Dada Yake Diamond ‘Esma’

Meneja wa wasanii wa Endless Fame Petit Money ameweka wazikuwa taarifa zilizosamba ni za ukweli kuwa anamahusiano na dada yake Diamond Platnumz ‘Esma Platnumz’ .
Petit amesema ana mapenzi ya ukweli kwa Esma na kwamba anampango wa kufunga naye ndoa. Petit ameongozea kuwa mpaka sasa Diamond hana tatizo nae kuwa na dada yake.
Haya Mapenzi yatadumu ?
PETIMANI 2 PETIMANI

MUME WA MTU MBONA HANIACHI JAMANI MIAKA 6 SASA AMENIGANDA

Habar ndugu zangu, Nashindwa kuelewa mpk sasa nimetokea kupendwa na mume wa mtu tangu niingie kwenye mahusiano cjawahi kuwa na mahusiano na mwanaume ambaye yupo single, amekuwa akinisaidia sana katka maendelea yangu mume wa mtu huyu ndie mshaur wangu hata iweje yupo mbele yangu kunijali ananipenda sana mara nyingne nawaza siwez kufika naye mbali tayar yy ameshakuwa na familia yake na Mimi nilazima nitakuwa na familia Yang tutaishi maisha haya mpk lini na tangu tujuane huu ni mwaka wa 6 najitahidi kumuacha lakini jamaa na yeye anapigana kutokuniacha mke wake mpk leo hajui kama mume wake ana mchepuko nje, nishaurini nahitaji na Mimi kuwa na maisha yangu nimpata mume wangu nitamtumikia huyu jamaa mpk lini? Nipeni hata njia mbadala matata ili niachane naye

BINTI ALAZIMISHA UMAARUFU KWA KUJIPIGA PICHA AKIKISS NA MSANII DAVIDO NA KUZISAMBAZA MTANDAONI



Umaarufu mwengine wa ajabu sana binti huyu inasemekana alifanya kila mbinu apate nafasi hata ya kumbusu tu davido , na alipoipata hakufanya makosa wakati wana kiss alijipiga picha nakusambaza picha hiyo kila kona kwenye mitandao. Daahhh hatari sana..!!

POMBE ZA MCHANA MCHANA NI SHIDAAA......ONA HAWA JAMAAAA

Hawa jamaaa walikutwa mchana kweupe wamezima kwa kunywa Pombe nyingi na kuzidiwa..Muda huo wa mchana walitakiwa wawe kazini wakijenga Taifa lakini wao mi mitungi kwenda mbele ....Je unafikiri kuna haja ya Serekali kupiga marufuku unywaji wa Pombe mchana kama walivyofanya wenzetu Kenya?

NGUO FUPI YAMTOKEA PUANI DADA HUYU ..AFUATWA NA MIDUME YENYE UCHU KAMA NYUKI



Jamani Wadada Tuweni Makini na Mavazi hasa tunapoenda sehemu zenye mkusanyiko wa watu mbali mbali ..Kama kariakoo na mjini City Center Kwa hapa Dar si Sehemu nzuri ya kuvaa mavazi mafupi yenye kuonesha viungo adimu katika mwili...Huyu Dada alimfika baada ya kuvaa kimini na kukatiza mitaaa bila woga ....Ona kundi ka wanaume wenye uchi wakimfuata nyuma huku mate yakiwadondoka.....Mweeeee

TETESI:DIAMOND PLATINUMZ NA HAMISA MOBETO WANADAIWA KUWA WAPENZI WA MUDA SASA.

Hamisa Hassan Mobeto ambaye ni model na actress anayesusua katika tasnia ya filamu nchini anadaiwa kuwa mapenzini na Diamond Platinumz a.k.a Sukari ya warembo huku uhusiano wao ukidaiwa kuwa wa muda mrefu tu ila wamefanya kuwa siri. Chanzo kimoja kilichodai kuwa karibu na Hamisa ambaye alishawahi kushiriki Miss Tanzania kiliuambia mtandao huu "Hivi mnajua kuwa Diamond anawachanganya kwa wakati mmoja Wema na Hamisa Mobeto?, Hamisa na Diamond ni

PENNY AAMUA KUFUNGUKA KUHUSU KUVUNJIKA MAPENZI YAO NA DIAMOND..HUU NDIO UKWELI NA NINI KINAENDELEA SASA

Mtangazaji na meneja wa vipindi wa kituo cha runinga cha DTV, Penniel Mwingila aka VJ Penny, amesema kuwa yeye na mpenzi wake, staa wa ‘My Number One’, Diamond Platnumz, wamepeana nafasi ili kila mmoja kutafakari anachotaka maishani.

Kauli ya Penny kwenye mahojiano maalum na Bongo5 TV, inajibu maswali ya wengi kuhusiana na kama wawili hao wapo pamoja au wameachana baada ya Diamond na mpenzi wake wa zamani, Wema Sepetu kurudiana tena. Katika interview hiyo, Penny ameongea pia kuanzia historia yake, namna alivyoingia kwenye utangazaji, alivyokutana na Diamond, mapenzi yao yalivyokuwa, alivyojisikia baada ya kuona picha za Wema na Diamond, maisha yake ya sasa na mipango yake ya mwaka huu,..

MTOTO AISHI MAKABURINI

MWISHO WA DUNIA WATAJWA


KWA WADADA:DALILI ZA MWANAUME ANAYEKUPENDA KWA DHATI

KHADIJA KOPA AVAMIWA..APONZWA NA MWANAUME TATA

WHEAT CLICK THIS PHOTO