Mwigizaji Irene Uwoya amerejea nchini toka nchini Swaziland alipokuwa kwa takribani wiki tatu.
Irene Uwoya aliyerejea nchini leo hii amerejea na salamu toka
nchini Swaziland alizoziandika kupitia ukrasa wake wa mtandao mmoja wa
kijamii alisema…
“Mswat anawasalinmu sana! Nahiv karibun atatinga hapa
nakanipa kibali chakufanyya move na ful suport...I wl prove u
wrong...try me”
Akimaanisha, amerejea nchini na Mswati amnawasalimia sana na
amesema atakuja nchini hivi karibuni na amenipa kibali cha kufanya
Filamu na atanisaidia kwa kila kitu. Nijaribu
Bado tunamtafuta Irene amabye namba yake ya simu haipatikani kujua kama kauli hii ni ya kweli au anawatania tuu mashabiki wake.
No comments: