
haya sasa pale tulipo ishia wiki jana huu ndo mfululizo wake NAJUTA KUTEMBEA NA BOSI?
Wengine wanafanya huu ukabaha kwa ajili ya kupeleleza yaani ni wapelelezi wa polisi au watu Fulani katika serikali wako katika mitaa hii kuzuga tu , ili wafanikishe kazi zao za uchunguzi kama polisi wa usalama sehemu walizoko .
Mwisho wa yote siku hizi kuna vita kubwa katika
biashara hii ya ukabaha mjini dare s salaam , mfano kule jolly kuna
wazungu na wahindi wanakuja kufanya biashara ya ukahaba kwahiyo wewe
mwamfrika unakazi ngumu kuwapita wale wazungu na wahindi au wachina .
Siku hizi wanaume wengi wanapenda kitu kinaitwa
JICHO yaani kufanya mapenzi kinyume na maumbile , hii nayo ni soko kuu ,
mfano mwingine anaweza kuja kwako anataka jicho na wewe hutoi jicho
maana yake unakosa soko suluhicho ni kujitoa mhanga na kufanya mapenzi
kwa kuwa mteja ni mfalme .
Mbaya zaidi kuna wanaume wengine wanakuja wanaweza
kukuchukua uende nao kufanya ngono kumbe wanakupiga filamu za ngono
wakati unafanya kitendo hicho haswa wazungu wengine wanakupa ufanye
mapenzi na mbwa wao au wanyama wao wengine mambo yanaenda hivyo .
Biashata hii ya ukahaba ilinichanganyia sana kwa
miaka 2 niliyoifanya na kwa kweli hakuna aliyenijua kama nimeadhirika na
ugonjwa wa ukimwi nilikuwa najitunza na kutuza siri zangu hizi kuu na
sikupenda kuzoeana na watu sana hadi waniulize hivyo
Siwezi kuhesabu ni watu wangapi nimefanya nao ngono
lakini ni zaidi ya 300 siku zingine nafanya kazi na watu zaidi ya 3 kwa
siku moja kwahiyo mambo yanaendelea halafu wengi hawakupenda kutumia
mipira ya kiume yaani kondo walipenda kuja hivi hivi tu bila kinga
chochote kile
Na mimi nilikuwa nimeshaadhirika nilichokuwa
natafuta ni fedha za kuendeleza maisha yangu kwahiyo hata kama nikifanya
ngono zembe bila kinga mimi hainiumi sana kwa kuwwa nilishajua hali
yangu sikuweza kuitengua siku wa chochote cha kufanya zaidi ya hichi .
Hii ilikuwa ni kulipiza kisasi kwa maasi ambayo yule
kijana alinifanyia kuniambukiza UKIMWI kwa makusudi huku akijua kabisa
ameadhirika siku nyingi ,kwakuwa yeye ameamua kuniuwa mimi basi na mimi
nauwa wengi zaidi na sijali kuhusu dhambi hizi nilizozifanya na sijutii
kabisa .
MAISHA YA MTAANI
Huku mitaani waliniita majina kama JLo wakati
mwingine salma hayek yaani wale waigizaji maarufu duniani kwa urembo
nilio nao na mvuto wake , hakuna hata mmoja aliyekuwa na mawazo kama
nimeadhirika au la kwa maana yule kijana niliyekuwa nae kama mpenzi
alikufa kifo cha ghafla watu walisema amekufa kwa pressure .
Mitaani napo nilikamua kinoma , waume za watu
walikuja mpaka mlangoni kwangu na magari yao , wananipakia na kunipeleka
katika kumbi za starehe na sehemu nyingine nyingi sana wengine
walinihonga mali na mambo kibao kisa wamenipenda wanataka ngono
Na kwa uhakika hawa wanaume niliwapanga sawia kabisa
na hakuna aliyeweza kutambua mimi nina wanaume wangapi na wanaishi wapi
wengi walijua ni washirika wangu katika kazi zangu na mambo yangu
mengine kwanza sikupenda kuongea na mwanaume wowote chumbani kwangu wote
nilikuwa nawaambia tukutane mbali kidogo na nyumbani haswa kati katika
ya jiji .
Katika hawa wateja wangu kulikuwa na kijana mmoja
anayeitwa juma huyu juma alikuwa na rafiki yake mmoja anayeitwa Shy ,
kijana mwembamba mwenye umbo la wastani , hana ndevu halafu ni mcheshi
sana , alifanikiwa kuiteka moyo wangu , sasa nilitaka kumwambia mara
kibao kwamba nimemzimia
Tatizo ni kwamba anayekuja kunichukuwa pale ni juma ,
juma huja pale kwa kusindikizwa na Shy , basi juma akanitambulisha
katika website moja inayoitwa darhotwire www.darhotwire.com , nyumbani
nikienda kupumzika nilipenda kushinda katika tovuti hii kuchat na
marafiki na watu wengine .
Huyu shy nae nilimkuta katika site hii usiku wa
manane anachat na jamaa zake , ila siku moja nilikutana na kijana
mwingine anayeitwa politeman , huyu ndio alinichanganya kabisa , kwanza
jina lake na jinsi aliyokuwa anaongea kweli nilizimia mwenyewe bado
nikawa na siri kubwa moyoni je hivi tukifanya ngono inakuwaje ?
Maisha yaliendelea tu , basi nikimpenda politeman ,
huyu kijana akawa anakuja mpaka nyumbani kwangu wakati mwingine na huwa
nampa computer yangu aitumie tukaenda zaidi nilimshitukia kumbe huyu
polite ana urafiki wa kimapenzi na dada mwingine anayeitwa salma siku
moja walipanga kwenda kufanya mapenzi lakini polite akakataa ?
Sikuamini macho yangu wala masikio siku nyingi kama
naota kumbe polite alikuwa na urafiki na dada mmoja anaitwa Maria Chipz
?? Sikuamini , nilimuheshimu sana maria na sikutegemea kama anaweza
kufanya hivyo hata siku moja , muda ukaenda kumbe kuna dada mwingine
anaitwa REHEMA naye alikuwa anampenda Politeman Miss upanga Naye
anampenda Politeman we acha tu
Nikamwaga chini sikupenda tabia zake za kitoto
kitoto anazowafanyia hao kina dada wengine ingawa nilifanya nae mapenzi
kama mara 4 hivi na mara zote hatukutumia kinga na nilikuwa nimeadhirika
ila ni siri yangu , polite hajui na wengine wote hawajui lakini ndio
maisha hayo
Haya ndio hivyo , nami sasa hivi nakaribia kufariki
dunia niko zangu kitandani hapa hospitali ya Amana mkoani dar es salaam ,
kweli maisha ni safari ishi upendavyo na sio watakavyo , mwisho wa yote
dunia sio hadaa wala dunia haikuchukii au haitaki kukufanyia chochote
kibaya
Bali watu ndio hadaa , hata kama ni ndugu yako
rafiki yako , hakikisha humpi nafasi akutawale aweze kukumiliki wewe na
kukuamrisha chochote kile anachotaka yeye , kama ukifanya hivyo ndio
utaishia kubaya kama mimi
Bosi wangu alinimiliki sana nikampa penzi , kijana wa mitaani nae alinimiliki mpaka sasa nimeaona faida zake na hasara zake
Wacha ningoje siku zangu
No comments: