msanii wa bongo fleva aslay ameamua kuvuka mipaka na kufanya ngoma na msanii wa kenya jaguar itwayo nyakati za mapenzi mpya ukiwa shabiki,mpenzi wa dogo aslay usikose kuifatilia ngoma hii kwani amekuja nayo kwa kasi ku teking over na kufanya mashabiki zake kila siku mzidi kufurahi juu yake
"DOGO ASLAY AVUKA MIPAKA YA TANZANIA NA SASA YUPO KENYA AKITAYARISHA NGOMA YAKE YEYE NA JAGUAR WA KIGEUGEU"

No comments: