Slider[Style1]

HABARI

BONGO MOVIES

BONGO FLEVA

.

BONGO VIDEOS

Style5[ImagesOnly]

STORY ZA INSTAGRAM

NATAFUTA MWANAUME ALIYE SERIOUS KUWA MUME WANGU BAADAE


Natafuta mwanaume atakayekuwa mume baadae endapo tutaelewana na kupitia hatua zinazohusika. mume anapatikana popote na Mungu akiamua apatikane humu hakuna wa kupinga. hivyo linawezekana pia.
About me; 31 years old, Government Employee and Interprenership, education level First degree, mnene wa wastani na mrefu wa wastani,

Man im looking for
Age -30yrs and above
education -Form four and above
Job - employee or self employed
Awe mrefu wa wastani
anayependa maendeleo na aliye tayari kujishughulisha ili kuwa na maendelea....

Acha mawasiliano yako....kupitia simu number 0714393024

IRENE UWOYA AMWAGIWA MATUSI YAA NGUONI NA MASHABIKI WA BONGO FLEVA BAADA YA KUMFANANISHA 'DIAMOND PLATINUMZ' NA 'MICHAEL JACKSON'

MWIGIZAJI wa filamu za Kibongo, Irene Pancras Uwoya, amelowa mvua ya matusi baada ya kumfananisha mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na aliyekuwa mwanamuziki mkubwa duniani, marehemu Michael Jackson.
Wikiendi iliyopita, Uwoya aliandika kwenye ukurasa wake katika mtandao wa Instagram kuwa msanii huyo anayefanya vizuri katika Bongo Fleva ndiye staa atakayemrithi mkali huyo wa Pop, maandishi ambayo yalizua matusi hayo ya nguoni.
Baadhi ya mashabiki wa mastaa hao walitoa maoni kuwa jambo hilo ni sawa na kufananisha vitu ambavyo havina uwiano hasa ukizingatia Michael Jackson alishafariki dunia Juni 25, 2009.
“Sasa hiyo ni akili gani ya ki…(tusi) kumfananisha mtu aliyeko hai na marehemu?” alihoji Mishish, mmoja wa mashabiki wa Uwoya katika mtandao wa Facebook baada ya ishu hiyo kuwa gumzo mitandaoni.
“Kweli wewe Irene (Uwoya) ni …(tusi) au kwa sababu Diamond amesha…(tusi) ndiyo maana unamsifia kiasi hicho,” aliandika shabiki mwingine kwenye Twitter na kupisha wengine kuendelea kumporomoshea Uwoya matusi ya nguoni

KUFIKA KILELENI KWA MWANAMKE NDIO KUKOJE?

"Mimi ni mwanamke wa miaka 30 tatizo kubwa linalonitatiza ni kuwa wakati wa kungonoka na mr. Nitajuaje kama nami pia nimekojoa??ebu nijue shosti coz huwa napata mtihani mkubwa sana sijui kama nishawahi "kukojoa" au la!

Kuna siku nyingine huwa napata raha up to the maximum yaani hadi nalia machozi kabisa sasa sijui huwa huko ndio "nakojoa" kwenyewe au ni mautamu tu?
Please i need the tips za kuniwezesha kutambua "kukojoa"thanx mumy! yours raht!"

PICHA:DIAMOND PLATNUMZ AKIPIMA OIL KWA SHABIKI WAKE


Msanii nguli wa Muziki wa kizazi kipya nchini Diamond akijaribu kumpapasa mrembo ambae ni mmoja wa mpenzi wa Muziki huo ktk Show ambayo iliifanya mwishoni mwa mwezi Juni katika Ukumbi wa Frankaman Hotel Tabora.

NEW SONG"YOUNG KACHA


WAKAZI AMJIBU TID BAADA YA KUMPONDA NA KUDAI ATAIMBA WIMBO GANI BIG BROTHER??


Rapper Webiro Wassira aka Wakazi amefunguka  kuwa kitendo cha TID kumdiss kuwa haoni wimbo atakoutumbuiza kesho kwenye eviction show ya Big Brother Africa The Chase kinaonesha kuwa staa huyo wa ‘Kiuno’ hajui anachokiongea.

Jana kupitia Twitter, TID aliandika: Wakazi ataimba wimbo gani, anaenda kuonyesha kofia zake za marekani#mzeekasema#radarworththisshit
#watuwabaya#msiwemaf**a.


Akijibu kuhusu kile anachoweza kujibu baada ya tweet hiyo ya TID, Wakazi amesema: 


Sasa ntamjibu nini, anaongea vitu asivyovifahamu, yeye hapo akimuona Wakazi anaona kofia za Marekani sasa mtu kama huyo utaongea naye!!”


“The greatest ignorance ya mtu ni pale anapoamua kudiss kitu ambacho hakijui au hajakifahamu bado vizuri , mtu kama huyo huwezi kuanza kubishana naye, na yeye ananiona mimi Mmarekani, wakati mimi ni Mtanzania, angekaa miaka mitatu Ulaya au Marekani angejiona na yeye ni mtu wa huko kwa jinsi upeo wake ulivyo.”

OMM DIMPOZI ATOA UTETEZI WAKE LEO ALIPOKUWA ANAZUNGUMZA KWA NJIA YA SIMU NA MABOVU STORY


ommy dimpozi asema kwa anaomba sana msamaha kwa watazania wote na kusema kuwa anawapenda sana watanzania wote na kusema kuwa ata watanzania wanamkubali na kukubali kazi zake ndo maana ata yale maneno alio yasema kuhusu ngwea watu wamechukia ila yeye amkubali kosa na amesema kuwa ameshafanya toba ila anapenda pia kusema kuwa anawapenda watanzania wote na adhani mtamuelewa na amesema anapenda blog zote Tanzania kwani bila blog sio dimpozi

PICHA:BOB JUNIOUR AKIPOKEA KICHAPO CHA MWIZI BAADA YA KUIBA




Bob Junior ameshare picha hizi kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika: Kwa Dizaini hii lazima nirudi kwetu K………..Aaaaah Maisha Haya Ya Bongo?,,,,COMING SOON Huu Mzigo…1 Love.

"LAZIMA NIFE KABLA YA KUFIKISHA MIAKA 40"...AUNT EZEKIEL

WAKATI vifo vikizidi kuwatafuna wasanii, staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amefunguka na  kudai kuwa hawezi kuishi miaka mingi  na  atakufa mapema kuliko  watu  wanavyodhani.

Aunt Ezekiel alifunguka hayo juzikati alipokuwa  akipiga  stori  na  mwandishi wetu jijini Dar ambapo alibainisha kuwa akijitazama mustakabali wa maisha yake basi anaona kabisa kuwa hawezi kufikisha hata miaka 40  kabla  hajafa.
 

“Daah! Sijielewi kabisa yaani kwa jinsi ambavyo najiona, nikifikisha miaka 40 ni bahati aisee, dunia sasa imebadilika sana,” alisema Aunt.

{NEW SONG}SPINCE SESEME-ROHO ZINAWAUMA

                  

{NEW SONG} LADY JAY DEE {SONG}YAHAYA..

                     


{NEW SONG}DOGO ASLAY FT LINAH-BADO MDOGO

                         

SHAMSA: NAOGOPA SANA NDOA WANAUME NI WATU WA KUBADILIKA, NASUBIRI AHADI YA MUNGU

BAADA ya hivi karibuni mchumba wake anayejulikana kwa jina la Dickson ‘Dick’ kuukacha uchumba, msanii wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford ameibuka na kusema anaogopa sana ndoa.

Akistorisha na paparazi wetu, Shamsa alisema japokuwa mwanamke yeyote anahitaji kuolewa lakini yeye anaogopa kuingia kwenye ndoa kwani wanaume ni watu wa kubadilikabadilika kama kinyonga ambapo huwanyima uhuru wake zao kwa kuwawekea sheria kali.
“Naogopa ndoa mwenzenu, wanaume ni watu wa kubadilikabadilika. Nasubiri ahadi ya Mungu kama ni mapenzi yake nifunge ndoa na Dick basi itakuwa kama siyo siwezi kulazimisha kwani hapendi niigize kitu ambacho siwezi kukiacha,” alisema Shamsa.

"AUNT EZAKIEL AJIVUNIA MAZIWA YAKE YA KIFUANI"



Msanii wa movie tanzania aunt ezakieli ajivunia maziwa yake ya kifuani na kusema kuwa
maziwa haya yanaweza kuwa chanzo cha yeye kuwa tajiri sana hapa tanzania na nje ya tanzania
kwani hakuna msanii yeyeto ya filamu tanzania anaempita kwa uzuri na mwili wa mvuto kimapenzi

DEMU WA MCHEZAJI BALETOLI AWA KIVUTIO UWANJANI BRAZIL





Mpenzi wa mshambuliaji wa timu ya taifa ya Italia Fanny Neguisha ameonekana kuwa moja ya vivutio kwenye michuano ya kombe la mabara inayoendelea huko nchini Brazil. Fanny amekuwa akihudhuria mechi zote za Italia na usikuwa kuamkia leo alikuwepo uwanjani wakati Italia inacheza na Japan huku akiwa amevalia jezi ya Italia.
Kwa wasiomfahamu wanaweza kudhania kuwa mwanamitindo huyo ni raia wa Italia kwa uzalendo aliouonyesha akiwa uwanjani lakini yeye ni raia wa Ubelgiji . Uwepo wa Fanny uwanjani unaonek
ana kumsaidia Super Mario ambaye alifunga moja ya mabao yaliyoisaidia  Italia kushinda 4-3.
Hivi karibuni Mrio alimvika mpenzi wake Fanny pete ya uchumba yenye thamani ya paundi laki moja baada ya tetesi kuwa zimesikika juu ya wawili hao kuachana kwenye mataa.

DIAMOND AAHIDI KUMFUNIKA VIBAYA PREZZO SHOO YA USIKU WA MATUMAINI 2013


MKALI wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond’ ametamba kufanya shoo kali ikiwemo kumfunika msanii wa Kenya, Prezzo katika Tamasha la Matumaini 2013 litakalofanyika Sikukuu ya Sabasaba kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Diamond ametoa majigambo hayo wakati wa mahojiano na Mtangazaji wa kituo cha Star TV, Sauda Mwilima.
“Nimeahidi kufanya bonge la shoo kwenye Tamasha la Matumaini siku hiyo, mashabiki wangu na wapenzi wa muziki wajitokeze kwa wingi.
“Ninataka kudhihirisha ubora wangu siku hiyo kwa kumfunika vibaya Prezzo,” alisema Diamond.

LADIES:UNAWEZA KWENDA KWENYE PARTY NA KIVAZI HICHI?


Je kama wewe ni Dada...Unaweza vaa kama huyu ?COMMENT ON facebook/hajimabovu

RIHANNA AZIANIKA NYETI ZAKE


Aibu nyingine zimemkuta rihanna wakati akipeform mwandishi alimpiga picha hiyo hapo juu na kuisambaza mitandaoni.....what do u see?tucheki facebook :hajimabovu

{NEW SONG} YOUNG KACHA-DEAR FACEBOOK{MABOVU STORY}

WHEAT CLICK THIS PHOTO