
July 27 2015 Mbunge James Mbatia ambaye
ni mmoja ya Viongozi wa juu wa Jumuiya ya Vyama vinavyounda umoja wa
UKAWA aliongea maneno haya baada ya Viongozi wote kukaa Kikao na
kukubaliana >>>> “Nachukua fursa hii kumualika Mheshimiwa Lowassa ajiunge na UKAWA na tuko tayari kushirikiana nae kuiondoa CCM madarakani”— James Mbatia.
Viongozi wa UKAWA wamekutana Bahari Beach Dar July 28 2015, wakiwa wameongozana na Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa na kuumaliza utata wa maswali mengi kuhusu uamuzi wa Lowassa baada ya jina lake kutopitishwa kwenye Urais CCM.
Mbunge Edward Lowassa alitumia muda mfupi tu kuthibitisha kujiunga CHADEMA, na hii ni sehemu ya alichokisema.
Mbunge Godbless Lema
Edward Lowassa na mke wake, Mama Regina Lowassa.
Edward Lowassa na Prof. Ibrahim Lipumba.
Salum Mwalimu akiongea na Edward Lowassa.
Mama Regina Lowassa akikabidhiwa kadi ya CHADEMA na Freeman Mbowe.
Edward Lowassa na Mama Regina wakionesha kadi zao za CHADEMA.
Freeman Mbowe na Edward Lowassa wakiwa wananong’onezana jambo.
Prof. Lipumba.
Freeman Mbowe.
James Mbatia.
Wabunge Halima James Mdee na Joshua Nassari.
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ (aliyekaa katikati) na Peter Msigwa pembeni kushoto.
No comments: