Kundi la Bracket (hit makers wa Yori yori) la Nigeria limeachia
rasmi audio ya collabo yao waliyofanya na staa wa Bongo Diamond
Platnmuz. Katika wimbo huo uitwao ‘Alive’ ambao video yake imefanywa
wiki chache zilizopita nchini Afrika Kusini, ameshirikishwa pia msanii
wa kike wa Nigeria, Tiwa Savage.
New Music: Bracket ft. Diamond & Tiwa Savage – Alive

No comments: