Siku
hizi stori za mastaa wa dunia kuja kuitembelea Tanzania sio moja wala
mbili manake wamekua wakija wengi tu na hawaachi kuipa nchi hii
matangazo ya bure kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii.
Mastaa
wengine waliotua kwenye ardhi ya Jakaya time hii ni mwigizaji staa wa
Marekani Gabrielle Union na mumewe Dwyane Wade mcheza kikapu wa Miami
heat ambapo wameifanya Serengeti Tanzania kuwa sehemu nyingine
waliyoitembelea duniani wakiwa kwenye honeymoon yao.
mabovu story.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook
Latest
m.media photographer_mimi. Powered by Blogger.
Featured author
admin
PostsThe Admin is a powerful person in this world, more powerful than the president of USA. The very mention of admin sends shivers down the president. You have been warned!
Tagged with: HABARI
About ujugu
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ABOUT ME
- Popular Post
- Video
- Category
HOT NEWS
-
Diamond akiwa na mkubwa wake wa kazi
-
Since its founding, Ketebul has been focused on ‘Bridge’ artists – the key artists that created certain genre that link the tribal mus...
-
Wanajeshi wa Brigedi Maalum wakiwa katika mazoezi makali yaliyofanyika hivi karibuni huko Goma Mashariki ya Demok...
No comments: