Slider[Style1]

HABARI

BONGO MOVIES

BONGO FLEVA

.

BONGO VIDEOS

Style5[ImagesOnly]

STORY ZA INSTAGRAM

Msanii Diamond Platnumz amechaguliwa tena kuwania Tuzo zingine kubwa duniani EMA, (Europe Music Awards) akiwa katika kipengele cha Best African Act. Siku 60 zimebaki kufanyika kwa Tuzo hizo ni muhimu watanzania kutoa sapoti kwa mtanzania mwenzetu kwani anazidi kuipeperusha bendera ya Tanzania. MTV Europe Music Awards zitafanyika  9 November 2014 (9:00 PM CET) Huko  The SSE Hydro, Finnieston,Glasgow, Scotland, United Kingdom

About ujugu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

WHEAT CLICK THIS PHOTO