Timu ya Taifa ya Watoto wa Mitaani ya
Tanzania imefanikiwa kuingia fainali za mashindano ya Kombe la Dunia la
Watoto wa Mitaani baada ya kuifunga Marekani goli 6-1 katika mchezo wa
kwanza wa nusu fainali uliochezwa jana (Aprili 5 mwaka huu) jijini Rio
de Janeiro Brazil.
Mpaka timu zinaenda mapumziko Tanzania
ilikuwa mbele kwa goli 4-0,goli pekee la Marekani katika mchezo huo
ambayo hadi nusu fainali ilikuwa haijafungwa lilifungwa dakika za mwisho
za mchezo huo.
Kwa matokeo haya Tanzania inacheza nusu
fainali na Burundi,Mechi hiyo inachezwa leo (Aprili 6 mwaka huu) ambapo
Burundi imetinga hatua hiyo baada ya kuifunga Pakistan goli 4-3 katika
nusu fainali ya pili.
Mchezo huo wa fainali unachezwa uwanja
mkongwe na maarufu wa klabu ya Fluminense katikati ya Jiji la Rio de
Janeiro huku mgeni rasmi akiwa Waziri wa Fedha wa Uingereza George
Osborne.
Katika mechi ya kwanza katika kundi B la michuano hiyo,Tanzania ilicheza na Burundi na kutoka sare ya mabao 2-2.
Latest
m.media photographer_mimi. Powered by Blogger.
Featured author
admin
PostsThe Admin is a powerful person in this world, more powerful than the president of USA. The very mention of admin sends shivers down the president. You have been warned!
Tagged with: HABARI.COM
About ujugu
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ABOUT ME
- Popular Post
- Video
- Category
HOT NEWS
-
Diamond akiwa na mkubwa wake wa kazi
-
Since its founding, Ketebul has been focused on ‘Bridge’ artists – the key artists that created certain genre that link the tribal mus...
-
Wanajeshi wa Brigedi Maalum wakiwa katika mazoezi makali yaliyofanyika hivi karibuni huko Goma Mashariki ya Demok...
No comments: