MARIA Nkwabi [33] Mkazi wa Kijiji cha Kakola akiwa katika Hospitali ya wilaya ya Kahama baada ya kumwagiwa Tindikali na Mumewe;Ray Chobe katika ugomvi unaodaiwa kugombea mali.
Jeshi la Polisi Wilayani Kahama limethibisha kutokea kwa tukio hilo na bado wanaendelea kumsaka mtuhumiwa huyo
No comments: