Slider[Style1]

HABARI

BONGO MOVIES

BONGO FLEVA

.

BONGO VIDEOS

Style5[ImagesOnly]

STORY ZA INSTAGRAM

MWANAMITINDO maarufu nchini, Hamisa Mabeto ametishia maslahi ya wasanii wa kike wa Bongo Movie baada ya kujitosa rasmi kwenye tasnia hiyo na kung’ara katika Filamu ya VIP akiwa na mastaa, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Jacqueline Wolper.

“Wasanii wajiangalie nafasi zao baada ya Mabeto kuingia kwenye filamu maana ndani ya VIP amekamua sana na wasipokuwa makini atawasumbua kutokana na mvuto ulionao,” alisema Ray.

Mabeto ametamba kwenye ulimbwende tangu mwaka 2010 alipoibuka mshindi wa shindano XXL Back to School Bash.

Mwaka 2011 alishika nafasi ya pili katika shindano kumsaka Miss Dar Indian Ocean na baadaye Miss Kinondoni.

Mwaka 2011 alishiriki Miss Tanzania na kufika hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo. Mwaka 2012 akafika hatua ya kumi bora kwenye Miss University.

About ujugu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

WHEAT CLICK THIS PHOTO