Na Gabriel Ng’osha
PENZI limekolea na kinachoonekana sasa
kwa Ostaz Juma Namusoma ni kukazia penzi lake kwa mwanadada Blandina
Chagula ‘Johari’ anayesumbua kwenye Bongo Muvi.
Habari zilizolifikia Amani kutoka kwa
chanzo chetu zinasema kwamba Ostaz alifunga safari kwenda nchini Afrika
Kusini kwa mapumziko mafupi lakini pia kumnunulia mpenzi wake huyo
zawadi mbalimbali kwa lengo la kupalilia uchumba wao.
“Jamaa alikuwa Sauzi (Afika Kusini),
aliondoka hapa tarehe 17 (Machi) na amerudi tarehe 21. Kamletea zawadi
kibao lakini kubwa zaidi ni kamera kubwa, nzuri ya kisasa kwa ajili ya
kerekodia filamu,” kilipasha chanzo hicho.
Amani lilifanikiwa kumpata Ostaz kwa
njia ya simu, akafafanua: “Ni kweli nilikuwa Afrika Kusini. Kuhusu
Johari, ni kweli si mke wangu? Nimemletea zawadi nyingi sana, achana na
hiyo kamera unayosema.
“Lengo ni kuweka uchumba wangu na yeye
sawa. Nilitamani sana kusafiri naye lakini sikutaka kufanya hivyo ili
kuweka usawa, mke wangu asione nimeegemea zaidi kwa mke mdogo.”
Alipoulizwa kwa nini amemuita Johari
mkewe, haraka alisema: “Ndoa ipo karibu, nimeshaamua Johari awe mke
wangu wa pili. Wadau wasubiri waone, uzuri ni kwamba dini yangu si
kikwazo.”
hagula ‘Johari’ anayesumbua kwenye Bongo Muvi.

GPL
Latest
m.media photographer_mimi. Powered by Blogger.
Featured author
admin
PostsThe Admin is a powerful person in this world, more powerful than the president of USA. The very mention of admin sends shivers down the president. You have been warned!
Tagged with: HABARI.COM
About ujugu
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ABOUT ME
- Popular Post
- Video
- Category
HOT NEWS
-
Diamond akiwa na mkubwa wake wa kazi
-
Since its founding, Ketebul has been focused on ‘Bridge’ artists – the key artists that created certain genre that link the tribal mus...
-
Wanajeshi wa Brigedi Maalum wakiwa katika mazoezi makali yaliyofanyika hivi karibuni huko Goma Mashariki ya Demok...
No comments: