Mtangazaji wa East Africa TV anna peter akimuhoji msanii shaa hapo juzi katika sherehe za wanawake duniani.Show hiyo shaa alikuwa kama shereheshaji
Master J nae hakukosa kuwa bega kwa bega na mwanadada shaa katika kuhakikisha swala zima la shoo hiyo linakwenda sawa na burudani za uhakika.
EATV PRESENTER NA SHAATZ
SHAA ON STAGE AKISUGUA GAGA
SHAA ON STAGE AKISUGUA GAGA
SHAA ON RED CARPET
SHAA ON STAGE AKISUGUA GAGA
SHAA ON STAGE AKISUGUA GAGA
PICHA NA MATUKIO KWA UDHAMINI WA M.MEDIA (THE BEST CHOICE)
No comments: