uzinduzi wa filamu ya NITADUMU NAYE(MUCH LOVE) YA MZEE YUSUPH jana ndani ya viwanja vya burudani DAR LIVE Burudani zilikuwa za kutosha tena zilizo pita kifani watu waliburudika na nyimbo za kundi la jahazi modern taarabu kama WASIWASI WAKO,SINA MUDA HUO,MARUPERUPE, NA nyingi nezo nyingi tu.Filamu hii ina maudhui ya kitanzania pia filamu hii wanaweza angalia watu wote watoto,vijana wakubwa yani haina limiti ewe mtanzania jiandae kupokea filamu hii ambayo inamilikiwa na kampuni ya MZEE YUSUPH ENTERPRISES na kusambazwa na kampuni ya STEPS ENTERTAINMENTE
huyu wa katikati ni mwimbaji nyota wa jahazi modern taarabu PRINCE
AMIGO na huyu pembeni kulia ni MCHEZAJI NYOTA WA YANGA FC BAHANUZI
CEREBRITY WA JAHAZI MODERN TAARABU MWANSITI AKIENDESHA SHUGHULI HIYO YA UZINDUZI WA FILAMU YA NITADUMU NAE (MUCH LOVE)HAPA KUSHOTO NI FATHER MAUJI WAKATIKATI NDIE DIRECTOR AMBAE AMEONGOZA NA KUTENGENEZA FILAMU HIYO
HAWA NI BAADHI YA WASANII WA BONGO MOIVE WALIOSHIRIKI MOIVE HIYO
MSANII WA BONGO MOIVE DUDE
KHADIJA YUSUPH AKIPOKEA TUNZA KUTOKA KWA MASHABIKI WAKE
WASANII WA BONGO MOIVE NA MPIGA PICHA NO. 1 WA JAHAZI MODERN TAARAB HANCE KIUMBE
MPIGA GITAA WA JAHAZI MODERN TAARAB IMERAA BURUDANI
MSANII WA BONGO MOIVE SANDRA AKIWA KWENYE UZINDUZI WA FILAMU YA MZEE YUSUPH NITADUMU NAE (MUCH LOVE
JAHAZI CREW
FATMA ALY MAMA SHUGHULI NA FATMA MCHURUKO NA WA HUKU PEMBENI
MWENYE MTANDIO MWEUSI NI SHABIKI AMBAE ALIOMBA KUPIGA PICHA NA WASANII
HAO NYOTA WA JAHAZI MODER TAARABU
MALKIA LEYLA RASHIDI NAE HAKUKOSA KWENYE UZINDUZI HUO KUONYESHA UMAHILI WAKE WA KUIMBA NA KUCHEZA
TAZAMA MZEE YUSUPH ANAVYO MWAGA KIDUKU KWA MASHABIKI WAKE
MUSSA MIPANGO
MZEE YUSUPH NA MDAU WAKE
MZEE YUSPH NA FATHER MAUJI
MZEE YUSUPH AKIWEKA NAKSHI ZAKE
KWENYE JUKWAA LA AINA YAKE NDANI YA VIWANJA VYA DAR LIVE MBAGARA ZAKIEM
ALIPOKWENDA KWENYE UZINDUZI WA FILAMU YAKE YA NITADUMU NAE (MUCH LOVE)
MASHABIKI WA JAHAZI MODER TAARAB
NYOMI
YA RAIA WAKAZI WA DAR ES SALAAM NA PEMBE ZONI MWA JIJI HILI LA MARAHA
WAKIWA KWENYE VIWANYA VYA DAR LIVE WAKISUBILI KUKATA TIKETI NA KUZAMA
NDANI KUTAZAMA UZINDUZI WA FILAMU
MZEE YUSUPH DIRECTOR WA JAHAZI MODERN TAARAB
No comments: