MTANZANIA, Vedastus Nsanzugwako ambaye alijeruhiwa katika shambulio la
kigaidi lililotokea katika jengo la biashara la Westgate, Nairobi, Kenya
ameanza mazoezi ya kutembea baada ya kupata nafuu.
Mtanzania huyo ambaye ni Meneja wa Kinga ya Watoto kwenye Shirika la
Maendeleo ya Watoto la Umoja wa Mataifa (Unicef), anaendelea kupata
matibabu katika Hospitali ya Agha Khan, Nairobi alikolazwa baada ya
kujeruhiwa katika shambulizi hilo Jumamosi iliyopita.
Soma zaidi: http://mwanahabariuswazi.blogspot.com/2013/09/mtanzania-vedastus-nsanzugwako.html#ixzz2ftvEDFMh
No comments: