HUYO UNAEMUONA HAPO WAKIUME NDO DEREVA NAE AMAEFARIKI
HAJI MABOVU MWENYE SHATI NYEUSI MPIGA PICHA WA JAHAZI AKISHANGAA AJARI HIYO
GARI YA JAHAZI MODERN TAARABU AKIWA IMEPATA PANCHA
MZEE YUSUPH MWENYE SHARTY NYEUPE AKIMWONYESHA DERAVA WA GARI NYEUPE WAPI PA KUPITA ILA KUTOA FOLENI ILIYOKUWA GUMZO HAPO
ABIRI ALIE KUWA NDANI YA GARI HIYO ILIYOPATA AJARI AKIWA TAYARI AMESHA POTEZA MAISHA
DK.SLAA AKIWA NAE KATIKA KUSHUHUDIA TUKIO HILO
WASANII WA JAHAZI WAKIWA NA MKURUGENZI WA JAHAZI MZEE YUSUPH WAKISUBIRI GARI YAO IWEZE KUBADILISHWA TAIRI
jahazi modern taarabu jana mchana yanusurika kupoteza wasanii wake
pamoja na mfalme mzee yusuph wakati wanatokea kwenye tour yao ya
arusha,moshi baaada ya kutaka kukutana uso kwa uso na haice ambao
imehama njia yake na hatimae kuikwepa haice hiyo ambayo dereva wake
ilisemakana amelewa na kuingia kwenye mtaro na kusababisha kifo cha watu
sita kutokea papo hapo baada ya haice iyo kuingia kwenye kitako cha
lori na kusukumwa mtaroni
No comments: