“Nafurahi kuona jinsi kioo cha jamii
hivi sasa kimeigusa familia kabisa, ukizungumzia nyumba unagusa swala la
familia ambalo ndiyo msingi wa Taifa lolote.” Haya yalikuwa ni baadhi
ya maneno ya Mtitu, mmoja kati ya watu maarufu ambao walihusika kwenye
show ya Irene Uwoya. Katika harakati za kutengeneza kipindi chake, Irene
amekutana na mastaa tofauti na kuzungumza nao mambo mengi ambayo
yatakuwa kwenye show yake. Chukua time yako ya kuona jinsi ilivyokuwa
na upate sababu nyingine ya kuangalia hii show kupitia @CloudsTV na pia unaweza kucheki promo yake hapo pembeni.
Latest
m.media photographer_mimi. Powered by Blogger.
Featured author
admin
PostsThe Admin is a powerful person in this world, more powerful than the president of USA. The very mention of admin sends shivers down the president. You have been warned!
Tagged with: iren uwoya
About ujugu
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ABOUT ME
- Popular Post
- Video
- Category
No comments: