Chris Brown Na Nicki Minaj wameteka mitaa ya Mjini L.A Kwa pozi tofauti walizo kuwa wanafanya wakati wa shooting ya video yao mpya ya “Love More” . Huu ni mmoja ya wimbo ambazo zipo kwenye album mpya ya Chris Browm' X ' ambayo imebarikiwa na sauti za wasanii kama Kendrick Lamar, Rihanna, Kelly Rowland na wengine.
Bonyeza Read More Uone Picha Zaidi.
No comments: