Tunatoa salaam zetu za rambirambi kwa mkongwe wa Hip Hop nchini, Joseph Haule "Profesa Jay" kwa kumpoteza mama yake mzazi Rosemary Majanjara katika ajali ya gari maeneo ya Mbezi mwisho. Tunaipa pole familia na ndugu zake wa karibu katika kipindi hiki kigumu.
Mama wa mkongwe wa Hip Hop nchini Joseph Haule "ProfesaJay" Amefariki Dunia

No comments: