Slider[Style1]

HABARI

BONGO MOVIES

BONGO FLEVA

.

BONGO VIDEOS

Style5[ImagesOnly]

STORY ZA INSTAGRAM

             

       
mchezaji wa ASHANT WATOTO WA ILALA Kaiko ataoa ya moyoni kuhusu mangwea pale alipo fanya interview leo hasuuhi na mabovu media group alikuwa na haya ya kusema

mabovu media:mambo vip bro
kaiko:poa salama lakini 
mabovu media:salam sijui wewe
kaiko:mi niko poa lete story
maovu media:vip ndgu yangu umeskia kifo cha ngwea
kaiko:naam nimeskia 
mabovu media:vip umekipokeaje wewe kama mwanamichezo
kaiko:dah kiukweli gwea ni rafiki ni ndugu ni jamaa wa watanzania wote ilakifo chake kwa upande wangu kimeniuma sana tena sana kwani mi ni shabikiwa ngwea wa kwanza hapa tanzania naweza sema ivyo
mabovu media:mhh sasa kaiko umeskia ngwea kafa kwa madawa ya kulevya wewe kama msanii unaweza sema nn juu yake
kaiko:mhh ujue uwezi jua kwa upande wangu sina uhakika kama ngwea ana tumia dawa za kulevya sasa wanaosema kafa na dawa siwezi wakatilia ila hilo siwezi jibu ila wasanii wengi wanabadilishwa tabia kwa sababu wanaiga mambo ya ughaibuni

mabovu media:sasa kaiko wewe unapenda kuimbia nini tanzania kuhusu ngwea 

kaiko:mm napenda kusema kuwa ngwea tulimpenda lakini mungu alimpenda zaidi tuseme alhamdulilah kisha tumuombee afike salama katika safari yake ya mwisho
mabovu media:amina bro nikutakie kazi njema za kujenga taifa
kaiko:nawe pia

About ujugu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

WHEAT CLICK THIS PHOTO