Slider[Style1]

HABARI

BONGO MOVIES

BONGO FLEVA

.

BONGO VIDEOS

Style5[ImagesOnly]

STORY ZA INSTAGRAM

                                                      MAREHEM THOMAS SENZIGHE
LEO ni siku maalum ya kumbukumbu ya marehemu thomasi senzighe alie kuwa mkurugenzi wa kundi la sanaa la jakaya theater arts linalo rusha michezo yake ITV
KUZALIWA:28/12/1982
KUFARIKI:14/5/2011

NDUGU NA JAMAA WALIKUWA NA HAYA YA KUSEMA KUHUSU  YEYE:

KAKA WA MAREHEMU
CHEDIEL SENZIGHE:mmiliki wa kundi la jakaya theater arts kwa sasa

interview:
kaka wa marehemu aongea na mabovu story na kusema ya moyoni kuhusu mdogo wake kwanza kabisa aongea kuhusu swala zima la kundi na mambo mbali mbali ambayo mdogo wake alio kuwa akiya fanya na wao  wanaenzi vipi aliongea kuhusu mambo ambayo mdogo wake aliokuwa hayapendi kama uongo,unyanyasaji wa kijinsia vile vile marehemu alikuwa hapendi kuona jamii ya tanzania ikiteketea kwa mambo yasiyo ya muhumi hivyo basi marehemu alifanya harakati na kufungua kampuni yake ya tominem swahili center ambayo ilikuwa ikisimamia kazi za sanaa na kufundisha kiswahili na kingereza kwa wageni pia vile vile marehemu alikuwa hapendi sanaa kuwa kitovu cha uhuni bali alipenda kuwa sanaa iwe kazi kama kazi  nyingine  inayo heshimika na kila mtu

vile vile chediel anazidi kusema kuwa sanaa inaweza kuleta ata amani pia katika chini kwani watu wengi sana wanaweza kuharibika kupitia sanaa au kujengeka kupitia sanaa  pia alizidi kusema kuwa jakaya ina mipango mingi ambayo iko mbioni kutoka kuna moive ambayo ikonjiani kutoka pia.


DAVID MPONJI
mkuregenzi wa jakaya theater arts kwa sasa
                                                                                             david mponji

Raisi  washilikisho la filamu tanzania  ndug: simon mwakifamba nae alishiliki kwenye  MISA ya kumuombea rehma marehem thomas senzighe
                                                                            








About ujugu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

WHEAT CLICK THIS PHOTO