na MWANDISHI WAKO HAJIMWANDAWILA
Ndugu
yangu ukishangaa ya Mussa basi shangaa na ya Filauni, Methali hiii
methibitika Songea baada ya Mtoto Bahati Upendo mwenye siku 3 toka
azaliwe alipo wekwa na mama yake kwenye mfuko wa mbolea na kutumbukizwa
kwenye shimo...
Ndani ya shimo hilo amekaa siku 6 bila kula wala kunywa
hadi alipo okotwa na wasamalia wema...
Hivi sasa yuko Hospitali ya Mkoa wa
Ruvuma akiwa Salama Salimini .
Yeyote Mwenye nafasi ya kumsaidia mtoto
huyu anaweza kwenda moja kwa moja Hospitali au wasiliana na namba
zifuatayo, mchango utafuatwa 0755061588 au 0755 731 234.
No comments: