Latest
m.media photographer_mimi. Powered by Blogger.
Featured author
admin
PostsThe Admin is a powerful person in this world, more powerful than the president of USA. The very mention of admin sends shivers down the president. You have been warned!
LULU MICHAEL AISHANGAZA JAMIII
Posted by: ujugu Posted date: 18:05 / comment : 0 lulu michael
Na Gladness Mallya
KUSOTA Gereza la Segerea, Dar kwa madai ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa staa wa filamu za Kibongo, Steven Kanumba kumemfanya mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ kubadilisha mtindo wa maisha na kuishangaza jamii, Amani lina habari mpya.
Lulu wa sasa si yule wa zamani ambapo inahabarishwa kuwa ameachana na tabia za kwenda kujiachia klabu, kulewa hadi kupitiliza, kulala kwenye mageto ambapo sasa amekuwa ni mtu wa kumtukuza Mungu, muumba wa mbingu na nchi.

Subscribe to:
Posts (Atom)
ABOUT ME
- Popular Post
- Video
- Category
HOT NEWS
-
Diamond akiwa na mkubwa wake wa kazi
-
Since its founding, Ketebul has been focused on ‘Bridge’ artists – the key artists that created certain genre that link the tribal mus...
-
Wanajeshi wa Brigedi Maalum wakiwa katika mazoezi makali yaliyofanyika hivi karibuni huko Goma Mashariki ya Demok...