Slider[Style1]

HABARI

BONGO MOVIES

BONGO FLEVA

.

BONGO VIDEOS

Style5[ImagesOnly]

STORY ZA INSTAGRAM

hongera johari kwa kuvishwa pete ya ndoa " maneno ya irene uwoya kwenye post yake ya instagram


MSANII wa filamu za Bongo, Irene Uwoya amempongeza staa mwenzake, Blandina Chagula ‘Johari’ kwa kutumbukiza picha kwenye Instagram ikimuonesha amevaa pete ya ndoa kwenye kidole husika. Uwoya, baada ya kuona picha hiyo akatupia ujumbe wake akisema: Hongera mama kwa kupata mwenzako…maaama.

Wadau mbalimbali nao walimpongeza Johari kwa hatua hiyo huku wengine wakihoji imekuwaje kimyakimya?

Maswali na pongezi hizo za wadau zilijibiwa na Johari mwenyewe ambaye aliandika: ‘Thanx ndo maisha yanachange’ (yaani asante ndiyo maisha yanabadilika).

WHEAT CLICK THIS PHOTO