Slider[Style1]

HABARI

BONGO MOVIES

BONGO FLEVA

.

BONGO VIDEOS

Style5[ImagesOnly]

STORY ZA INSTAGRAM

BREAKING NEWS:MABASI MAWILI YALIPULIWA NA MABOMU KENYA

One person dead and several others injured after two  explosions hit two buses along Thika road. The explosions occurred in different buses that had left town heading to Githurai. The first explosion happened outside Homeland Inn and the second at Thika Road Mall roundabout.

Sudan K.kujua hatima yake katika EAC leo

Mkutano wa jumuiya ya Afrika Mashariki waanza leo Tanzania
Mkutano wa kumi na mbili wa viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki unaaanza rasmi hii leo mjini Arusha nchini Tanzania.
Miongoni mwa maswala muhimu yatakayojadiliwa ombi la Sudan Kusini kutaka kujiunga na jumuiya hiyo.
Mkutano wa mwisho kama huu uliofanyika mjini Kampala Uganda mwezi Novemba mwaka jana, uliweka bayana kwamba ni katika mkutano huuu wa Arusha, ambapo tarehe ya Sudan Kusini kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki
itakapotangazwa.
Lakini wadadisi wanasema kuwa msukosuko wa kiuchumi pamoja na vita vya wenyewe kwa wenyewe huenda ikawa sababu ya taifa hilo kunyimwa uanachama wa jumuiya hiyo. Hii ni baada ya machafuko ya wenyewe kwa
wenyewe kuzuka, na kusambaratisha nchi hiyo kisiasa na kiuchumi.
Maswala mengine yatakayojadiliwa ni ripoti ya mawaziri, mikakati ya kifedha katika kuiendesha jumuiya hiyo na mbinu za nchi wanachama kuendelea kupeana taarifa za kijasusi, katika juhudi za kupambana na tishio la ugaidi.

mfalme mzee yussuf,kassim mganga,joh makini,profesa j,dj choka na mexkana lakavela wangusha ambushi la kufa mtu ndani ya x-mass day dar live bonya hapa utazame

NEWS:FOOLISH AGE YA ELIZABETH MICHAEL KUZINDULIWA MLIMANI CITY HALL

Elizabeth Michael ari maarufu kama ''LULU'' ukisikia jina ili
basi kuna mengi ya kuongelea juu ya kipaji chake
kama msanii wa filamu Tanzania lakini hapa nipo
kukujuza kwa kitu kingine shabiki wa Lulu...
Baada ya kukaa kimya kwenye sana muda mrefu Elizabeth
anakuja na filamu yake kali kuliko kwa mujibu wake
kuwa ameicheza ustadi mkubwa na kiufasaha zaidi kwa
 kuwa muda mwingi alitumia kuigiza maisha yake
halisia aliyokuwa nayo kipindi cha nyuma ndio
 kisa aswa cha kuitunuku filamu hii jina la 'FOOLISH AGE''

Tarehe 30/8/2013 NDANI YA MLIMANI CITY HALL
 kwa kiingilio cha 30,000/= tu utahusika vilivyo mdau wa
Bongo movie kuweza kushuudia uzinduzi na filamu kamili
 pamoja na kumuona mwenye Lulu siku ya tukio
ilo burudani itakuwepo kutoka kwa Lady Jay Dee na
Machozi Band,kiukaribu kabisa hii si ya kukosa...

MWENYE MACHO HAAMBIWA TAZAMA EAST AFRICAN COMMUNITY INAKUFA


Mimi siku zote husema si nabii wala mbashiri, sina ujuzi wa kutembelea nyota, lakini kwa mambo yote ambayo ninayaona kwa sasa, hakika ni alama mbaya , hatari kwa nchi yangu, Tanzania.
Hakuna shaka, pia ni hakika kwamba ni hatari pia hata kwa uhai na ustawi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa jumla wake......

WHEAT CLICK THIS PHOTO