Slider[Style1]

HABARI

BONGO MOVIES

BONGO FLEVA

.

BONGO VIDEOS

Style5[ImagesOnly]

STORY ZA INSTAGRAM

mama mzazi wa mtoto wa ney akana kuwa curtis si mtoto wa ney habari kamli bofya hapa ili kusoma


  1. siwema 33
    Kupitia mitandao ya kijamii tumekuwa tukijifunza kuhusu mahusiano ya msanii May wa mitego na mpenzi wake wa muda mrefu Siwema. Hivi karibuni Siwema aliweka Post kwenye kurasa yake ya Instagram kuwa mtoto wao ‘Curtis’  aliyeminika kuwa ni wa Nay wa Mitego sio wake ila ni  Obasanjo‘ .
    Siwema amakuwa akilalamika kuwa Nay wa Mitego anasema uongo kuhusu yeye na mapenzi yao, haka kusema anamnunulia vitu kama magari ya kifahari na nyumba.
    Hichi kilikuwa kwenye kurasa ya instagram ya Siwema .

    Screenshot_2015-03-23-00-49-09 Screenshot_2015-03-23-01-02-49

DIAMOND! MWAMBIE ZITTO KABWE AFANYE SIASA AACHANE NA BONGO FLAVA"NEY WA MITEGO


Mfalme wa kudiss Tanzania, Nay wa Mitego amerejea tena kuchafua hali ya hewa kwa kutengeneza mijadala kwenye radio na kwenye mtandao kwa ngoma yake mpya, Salam Zao.


Kwenye Salam Zao, Nay ameendeela kufanya kile akifanyacho kwa uzuri (do what he does best) kuponda.
 
Awamu hii list ya aliowadiss imeongezeka zaidi na kuingia pia kwenye siasa huku akiendelea kuwapa madongo wana hip hop wenzie......

WHEAT CLICK THIS PHOTO