Slider[Style1]

HABARI

BONGO MOVIES

BONGO FLEVA

.

BONGO VIDEOS

Style5[ImagesOnly]

STORY ZA INSTAGRAM

Chris Brown kaongelea beef na Drake,Ushkaji na Kanye West na mambo ya Rihanna hapa.

Chris Brown kaongelea beef na Drake,Ushkaji na Kanye West na mambo ya Rihanna hapa.


chris-brown-the-breakfast-club-iamsupergorge
Msanii wa rnb Chris Brown amefunguka kuhusu mahusiano yake na Kanye West, Beef na Drake na mambo ya Rihanna kwenye interview yake na kipindi cha BreakFast Club.
Kila Chris Brown alivyoulizwa kuhusu Drake alijibu “I ain’t getting no money about talking about him.” akimaanisha silipwi kwa kumzungumzia huyu jamaa ila baadae kwenye interview Chris alisema yeye sio rafiki wa Drake kabisa.Chris kamwita Drake “corny singing rapper” .
Kuhusu Rihanna Chris Brown alisema “Who else in the game she gon’ go to? Some corny singing rapper,” Akimaanisha Riri atatoka na nani tna kwenye muziki, labda “corny singing rapper” [Drake] .
Kuhusu maisha yake Chris Brown amesema ” ndani ya miaka mitano maisha yake yamezungukwa na vitu hasi sana ila anachoweza kufanya ni kutoa muziki mzuri tu, nahayo ndiomafanikio ya muziki”
Kabla ya kumaliza interview Chris aliongelea mahusiano yake na Kanye West nakusema yuko “real cool” na Kanye West.

Picha sita zinazoongelewa zaidi kutoka kwenye #grammy2015,Kanye West na Kim K wapo.


kim-kanye-getty Kanye West na mke wake Kim Kardashian wameteka vichwa vya habari baada ya tuzo za grammy kwa kuonekana wakipeana busu huku mkono wa Kanye ukiwa kwenye makalio ya Kim, hii ni picha moja kutoka kwenye hizi picha ambazo zimeonekana kuongelewa zaidi kwenye mitandao baada ya tuzo za grammy zilizofanyika jumapili iliyopita.
57th GRAMMY Awards - Arrivals 

amber_rose-ass-grabbed-by-kanye 

57th GRAMMY Awards - Show 
 The 57th Annual GRAMMY Awards - Red Carpet kanye-beck The 57th Annual GRAMMY Awards - Telecast  57th GRAMMY Awards - Show

Mtoto wa Jackie Chan atoka jela,alichosema kipo hapa


jaycee 3
Mtoto wa kiume wa staa wa filamu Jackie Chan ‘Jaycee Chan ‘ ambaye alikamatwa na kushikiliwa na polisi kwa makosa ya kukutwa na bangi zilizokutwa nyumbani kwake na kuruhusu watu wavute bangi nyumbani kwake.
Jaycee Chan amepata nafasi ya kuongea na waandishi wa habari baada ya kutoka jela nakusema ‘Anaomba radhi kwa makosa aliyofanya yaliyopelekea akae jela kwa muda wa miezi sita, kama mtu mwenye ushawishi kwa jamii anaomba radho kwa matendo yake yaliomfanya achukuliwe tofauti na watu, ‘
jaycee
Baba yake  Jackie Chan ambaye ni Balozi wa mapambano dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya China tangu mwaka 2009 hakutumia nguvu zake kumtoa jela wala kupunguza hukumu yake.
Jaycee alikamatwa August mwaka jana baada ya kukutwa na gramu 100 za marijuana and was caught with 100.

Picha, Rick Ross na tattoo zingine usoni, Meek Mill je,



Rappa Rick Ross na Meek Mill walitembelea mchora tattoo maarufu Unroyal Ink Tattoo Studio ili kuongeza wino kwenye sehemu tofauti kwenye miili yao.
Rick ross ameongeza tatto 7 usoni kama Logo ya timu ya kikapu ya Miami Heat na logo ya MMG huku Meek Mil akiweka Logo ya MMG kwenye kiganja cha mkono wake.
rick 1 rick 2 rick 3 rick 4

Ndani ya miaka sita msanii Missy Elliot amefanikiwa kupunguza mwiliwake na kuwa na muonekano alioutaka kwa muda mrefu.

Ndani ya miaka sita msanii Missy Elliot amefanikiwa kupunguza mwiliwake na kuwa na muonekano alioutaka kwa muda mrefu.

Mwaka 2008 Missy aliugua ugonjwa unaosababishwa na mafuta mengi mwilini na toka hapo alianza kuchukua hatua katika kupunguza mafua mwilini.
 
 
 
 
 
 

Orodha Ya Rappers 10 Waliowahi Kuwasaliti Wake/Wapenzi Wao.

Wiz Khalifa hajawa Rapper wa kwanza kumsaliti mpenzi wake.Inasemekana hii ni kawaida kwa rapper kukamatwa wakisaliti wake na wapenzi wao. Hii list ya wasanii kumi wa Rap waliowahi kuhusishwa na usaliti.
amber-Wiz-XXL 
Rapper Wiz Khalifa ameachana na Amber Rose baada ya Wiz kufumaniwa akiwa na mwanamke kitandani. Wanawake hao ni mapacha.
Swizz-Getty-1
Kabla ya Swizz Beatz kuwa na Alicia Keys,aliwahi kutoka na msanii wa rnb  Mashonda, Kwenye barua ndefu aliyoandika Mashonda miaka mitano iliyopita alisema Alicia Keys ndio aliyevunja ndoa yake na Swiz Beats.
ja-rule-getty-2 
Ja Rule alimsaliti Karrine ‘Superhead’ kwenye kitabu alichoandika dada huyu anasema Ja Rule alimsaliti mpaka ilifikia hatua akazoea tu.  Kiabu kinaitwa Confessions Of A Video Vixen.
diddy-getty-3 
Kim Porter amekuwa akitengana na kurudiana na rapper/mfanya biashara Diddy alisema mwaka 2007 kwenye interview na Essence kuwa usaliti wa Puff daddy na wanawake kama Sarah Chapman na kumpa ujauzito ndio sababu ya kuvunjika kwa mahusiano yao.
 big-boi-getty-5    Biggie na Faith Evans walifunga ndoa mwaka 1994 na  baada ya furaha ya muda mfupi, Biggie alianzisha mahusiano na msanii wake Lil Kim.
BIG-and-Faith
Big Boi alimsaliti mke wake Sherlita M. Patton wa miaka 11 kwenye ndoa.
chris-brown-getty-6 
Chris Brown ni miongoni mwa wasanii wa rnb waliomsaliti Rihanna kwa muda mrefu huku dunia ikijua kuwa mapenzi yao yana nguvu. Imefahamika kuwa Chris alikuwa na Karrueche wakati yupo na Rihanna pia.
nas-kelis-getty-7 
Nas na Kelis walipeana talaka 2010. Sababu ya talaka yao ilikuwa usaliti wa Nas ambao aliwahi kuhojiwa na kutubu kuwa uaminifu na usaliti ndio umevunja ndoa yake.
fabolous-emily-getty-9 
Kwa kuwa ilikuwa siri kwa rapper Fabolous ila familia ya mama wa mtoto wake Emily B iliweka wazi kuwa mtoto wao alisalitiwa sana na rapper huyu mpaka kupelekea kutengana.
fat-joe-getty-8
Mwaka 2012 Mke wa Fat Joe alitaka talaka yake baada ya kuka kwenye ndoa kwa miaka 17 . Hii ni baada ya Fat Joe kuhusika kimapenzi na Ms. Dubai.


mabovu story.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook

Picha,Mtoto Wa 50 Cent Alivyojiachia Na Floyd Mayweather

pic 
Mtoto anayeaminika kuwa ni wa 50 Cent Marquise Jackson ameweka picha yake facebook akiwa na Floyd Mayweather ambaye kwa sasa hawaelewani na rapper 50 Cent. Hii sio mara ya kwanza Marquise amefanya kitu kama hichi kumuudhi baba yake, awali Marquise alipiga picha na bidha ya Slowbucks ambayo kampuni hio haina maelewani mazuri na 50 Cent.
Picha hio iliambatana na ujumbe uliosema “With Tank and Floyd.”
mabovu story.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook

Picha,Vin Diesel Ameweka Hii Picha Ya Paul Walker Facebook,Wengi Imewagusa.

140924130316-paul-walker-fast-7-story-top
Mwigizaji Vin Diesel ameweka kwenye facebook picha ya Paul Walker iliyogusa watu na mashabiki wengi duniani. Mpaka sasa picha hii imethibitishwa kuwa ni picha kutoka kwenye filamu ya Fast & Furious 7. Picha hii imeambatana na trailer ya filamu hio.
Paul Walker alifariki kwenye ajali ya gari akiwa na miaka 40 mnamo november mwaka jana katikati ya utengenezwaji wa filamu ya saba ya Fast & Furious.
mabovu story.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani Africa na nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram , Twitter Na Facebook

WHEAT CLICK THIS PHOTO