Latest
m.media photographer_mimi. Powered by Blogger.
Featured author
admin
PostsThe Admin is a powerful person in this world, more powerful than the president of USA. The very mention of admin sends shivers down the president. You have been warned!
IDD AZZAN" NIPIGWE RISASI NIKIGUNDULIKA NAJIUSISHA NA MADAWA YA KULEVYA"
Posted by: ujugu Posted date: 12:36 / comment : 0 IDD AZZAN
Baada ya Barua iliyosambaa mtandaoni ikimtaja Mbunge Iddi Azzan kuwa ni mmoja wa wauza Madawa ya kulevya ..Amejitokeza na kujipeleka polisi Mara mbili ili wamchunguze , katika
AZZAN:NITAJIUZULU IKIBAINIKA NAUZA MADAWA YA KULEVYA
Posted by: ujugu Posted date: 15:21 / comment : 0 IDD AZZAN
MBUNGE
wa Kinondoni (CCM), Idd Azzan, amesema yupo tayari kujiuzulu ubunge,
ikiwa itabainika anajihusisha biashara ya dawa za kulevya. Kauli hiyo
imekuja siku chache baada ya kutajwa katika moja ya barua iliyosambazwa
katika mitandao ya kijamii, baada ya mtu anayedaiwa kukamatwa China na
kuwatuhumu watu kadhaa akiwamo Idd Azzan. Akizungumza
na MTANZANIA jana kuhusu sakata hilo, alisema hatua ya kuhusishwa na
biashara haramu ya dawa za kulevya, ni kutotenda haki mbele ya jamii
hasa wapiga kura wake na Taifa kwa ujumla.
Subscribe to:
Posts (Atom)
ABOUT ME
- Popular Post
- Video
- Category
HOT NEWS
-
Diamond akiwa na mkubwa wake wa kazi
-
Since its founding, Ketebul has been focused on ‘Bridge’ artists – the key artists that created certain genre that link the tribal mus...
-
Wanajeshi wa Brigedi Maalum wakiwa katika mazoezi makali yaliyofanyika hivi karibuni huko Goma Mashariki ya Demok...


