Slider[Style1]

HABARI

BONGO MOVIES

BONGO FLEVA

.

BONGO VIDEOS

Style5[ImagesOnly]

STORY ZA INSTAGRAM

"SASA NIMEOKOKA.....UJINGA SITAKI TENA"...LULU MICHAEL


MUIGIZAJI machachari wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema baada ya kupata misukosuko ya kimaisha, sasa maisha yake ameyaelekeza katika sala kumuomba Mungu amsamehe makosa yake. .......

Mbunge wa Sweden aweka kimakosa picha inayoonesha sehemu zake za siri Instagram hii ni wakati akitaka kuionyesha tatoo ya Liverpool


Mwanasiasa mmoja wa Sweden anayeonekana kuwa member mzuri wa mtandao unaozidi kupata umaarufu bongo wa Instagram, katika hali ya ushabiki na kutaka kushare picha ya tattoo yake ya Liverpool FC iliyochorwa katika mguu wake wa kushoto , kwa bahati mbaya alijikuta akionesha mpaka sehemu za ‘ikulu ya mwili’.
Lars Ohly mwenye miaka 56, anayeonekana kuwa shabiki mkubwa wa timu ya Liverpool, baada ya kuweka picha hiyo bila kujua huwa ‘Mr Ohly’ pia ameonekana, aliifuta haraka japokuwa tayari watu walikuwa wameipata.....

#NEW PAGE ON FACEBOOK MABOVU STORY

HABARI TANZANIA NAPENDA KUITAMBULISHA PAGE YETU/ YA .MABOVU STORY ON FACE BOOK CHA MSINGI ..

KITALE ALAANI KUHUSISHWA NA MALI ZA SHARO, SOMA HAPA ALICHOKISEMA

Msanii  wa  Commedy nchini na muimbaji wa bongo fleva  Kitale  rais wa mateja, amekanusha taarifa zinazomuhusiha na mali za Marehemu Sharo milionea.
  Katika  A/C yake ya BBM Kitale ameandika 

WHEAT CLICK THIS PHOTO